10
Wanasayansi Wairani waunda mkono bandia kwa ajili ya walemavu
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala nyingine yenye kuangazia maendeleo ya Iran katika sekta za sayansi, teknolojia na tiba nchini Iran na maeneo mengine duniani. Katika makala ya leo tutaangazia mafanikio ya Iran katika sekta za seli shina, mkono bandia na kiwanda cha nafaka.