-
Kumbukumbu ya Siku za Fatimiyah
Dec 18, 2021 16:41Assalaam alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa siku hizi za maombolezo ya binti ya Mtume (SAW), Bibi Fatima Zahra (AS) zinazojulikana kama ‘Siku za Fatimiya’.
-
Sira ya Bwana Mtume Muhammad SAW Katika Kuleta Umoja
Dec 17, 2016 09:22Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha Maulidi ya Bwana Mtume Muhammad SAW na Wiki ya Umoja.
-
MAKALA: Siku ya Kimataifa ya Quds
Jun 29, 2016 08:35Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika makala hii maalumu inayokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds. Ni matarajio yangu kuwa mtaendelea kuwa nasi hadi mwisho wa kipindi hiki.
-
Watoto na wanawake wa Yemen na Nyoyo zilizojaa machungu
Apr 16, 2016 02:41Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika makala hii ya kila wiki ambayo kwa kawaida huwa inatupia jicho matukio mbalimbali muhimu yaliyojiri katika kipindi cha juma zima. Leo tumekuandalieni makala fupi chini ya kichwa cha maneno kisemacho: Watoto na Wanawake wa Yemen na Nyoyo Zilizojaa Machungu, tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa makala hii.
-
Kuaga dunia Farajollah Salahshoor, muongozaji wa filamu za kidini
Mar 09, 2016 11:57Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki cha Makala ya Wiki ambacho katika jumla hili kitamzungumzia mwongozaji filamu mashuhuri wa filamu za kidini Farajollah Salahshoor, pamoja na athari za tasnia ya filamu zilizoachwa na msanii huyo aliyeaga dunia wiki mbili zilizopita. Ni matumaini yangu kuwa mtaendelea kuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki.
-
Oscar, Hollywood na ubaguzi wa rangi
Mar 09, 2016 11:35Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi katika Makala ya Wiki. Kipindi chetu leo kitatupia jicho ubaguzi unaofanyika nchini Marekani hususan katika sekta ya filamu ya Hollywood.