-
Kukumbuka siku ya kufariki dunia Bibi Maasuma SA
Oct 25, 2023 17:15Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyofariki dunia Bibi Faatima al Maasuma 'Alayha Salam', mmoja wa wajukuu wa Mtume Mtukufu (SAW).
-
Imam Baqir AS Chimbuko la Elimu na Maarifa (Kwa mnasaba wa Siku ya Kuzaliwa) + SAUTI
Feb 01, 2022 10:29Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Mwaka 57 baada ya Hijra ya Mtume SAW ya kutoka Makkah kuelekea Madina, katika siku ya kwanza ya mwezi uliojaa fadhila wa Rajab, ulimwengu uling'ara kwa kuzaliwa nuru ya mmoja wa watu watukufu katika kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Kumbukumbu ya Siku za Fatimiyah
Dec 18, 2021 16:41Assalaam alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa siku hizi za maombolezo ya binti ya Mtume (SAW), Bibi Fatima Zahra (AS) zinazojulikana kama ‘Siku za Fatimiya’.
-
Makala maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Imam Sajjad AS
Apr 10, 2019 18:04Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika dakika hizi za kipindi hiki maalumu ambacho tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Hussein Zainul Abidiin AS mmoja wa Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad SAW. Kabla ya jambo lolote tunatoa mkono wa baraka na fanaka kwa wapenzi wote wa Ahlul Bait AS na wapenzi wote wa haki duniani kwa mnasaba huu tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa kipindi.
-
Hekima na busara katika fikra za Imam Musa al Kadhim AS
Sep 01, 2018 02:05Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Imam Mussa al Kadhim AS. Ni matumaini yangu utakuwa nami hadi mwisho wa makala hii.
-
Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Sajjad AS
Apr 21, 2018 11:09Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika dakika hizi chache za kipindi hiki maalumu ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Hussein Zainul Abidiin AS mmoja kati ya Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad SAW. Ni matarajio yangu kuwa mtakuwa nami hadi mwisho wa kipindi karibuni.
-
Abbas bin Ali (AS) alivyopambika kwa fadhila kubwa za uungwana
Apr 20, 2018 16:28Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika makala hii maalumu ambayo tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Abul Fadhlil Abbas, mwana wa Imam Ali AS na ambaye alikuwa jemedari shujaa na uti wa mgongo wa Imam Husain AS katika mapambano ya Karbala.
-
Imam Husain (AS) Nyota ya Fadhila (Kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa Imam Husain AS)
Apr 19, 2018 20:31Tarehe 3 Shaaban ni siku ambayo mji wa Madina ulishuhudia kuzaliwa mtoto mwingine katika nyumba ya Bibi Fatimatuz Zahra SA binti mpenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW. Huyo alikuwa ni mtoto wa pili kuzaliwa katika familia hiyo ambayo Mtume Muhammad SAW alikuwa siku zote akiwaita watu wa familia hiyo kuwa ni Ahlul Bayt wake na daima akiwaombea dua za kheri na amani. Katika Qur'ani Tukufu pia kuna aya inayotaja ubora, utukufu na usafi wa watu wa nyumba hiyo.
-
Malengo ya kubaathiwa Mtume Muhammad (SAW) kwa mtazamo wa Imam Khomein (MA)
Apr 13, 2018 20:26As-Salamu Alaykum wapenzi wasikilizaji, na karibuni kujumuika nami katika dakika hizi chache za kipindi kingine cha makala ya wiki, ambacho hii leo kitazungunmzia malengo ya kubaathiwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) kwa mtazamo wa Imam Khomein (MA), karibuni.
-
Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Musa al Kadhim AS
Apr 11, 2018 16:30Bismillahir Rahmanir Rahim. Leo wasikilizaji wapenzi tumekuandalieni kipindi maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Musa al Kadhim, Imam wa Saba katika silisila ya Maimamu wa kizazi kitoharifu cha Bw. Mtume Muhammad SAW. Leo tutatoa sira na historia fupi ya mtukufu huyo tukiwa na matumaini mtanufaika vya kutosha na Makala hii fupi tuliyokuandalieni kwa mnasaba huu. Karibuni.