-
Adhama ya Maulidi (Kuzaliwa) ya Mtume Muhammad SAW
Nov 13, 2018 05:16Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Kama mnavyojua, tumo ndani ya Mfunguo Sita, mwezi ambao alizaliwa Bwana wetu Muhammad SAW. Leo katika dakika hizi chache, tutazungumzia adhama ya kuzaliwa mtukufu huyo tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa maelezo haya mafupi.
-
Haki za wazazi wawili kwa mujibu wa hadithi za Bwana Mtume SAW + Sauti
Nov 06, 2018 06:10Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hivi sasa tumo katika maombolezo na huzuni kubwa ya kukumbuka kufariki dunia kipenzi chetu na ruwaza yetu njema, Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad al Mustafa SAW ambaye hakuna kiumbe yeyote bora kuliko yeye na ambaye aliaga dunia katika siku ya mwisho ya mwezi wa Mfunguo Tano Safar mwaka wa 11 Hijiria katika mji mtakatifu wa Madina akiwa na umri wa miaka 63 na kuzikwa katika mji huohuo.
-
9 Rabiul Awwal, Siku ya Kuanza Uongozi wa Imam wa Zama
Dec 08, 2016 13:13Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Hamjambo na karibuni kuwa nami katika Makala ya Wiki hii ambayo itazungumzia siku ya kuanza uongozi wa Imam wa Zama, Imam Mahdi (as) Mwenyezi Mungu aharakishe kudhihiri kwake.
-
Jumanne 20 Septemba 2016
Sep 20, 2016 01:41Leo ni Jumanne 18 Dhulhija 1437 Hijria sawa na tarehe 20 Septemba 2016.
-
Jumatano, Julai 20, 2016
Jul 19, 2016 22:10Leo ni Jumatano tarehe 15 Shawwal 1437 Hijria sawa na Julai 20, 2016.
-
Alkhamisi 23 Juni, 2016
Jun 23, 2016 01:37Leo ni Alkhamisi tarehe 17 Ramadhani 1437 Hijria inayosadifiana na tarehe 23 Juni 2016.