-
Ukweli Uliopinduliwa na Wamagharibi
Oct 21, 2023 08:18Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nami katika kipindi chetu cha wiki hii cha Makala ya Wiki. Leo tunachunguza madai ya nchi za Magharibi eti ya kufanya hisani na kujali haki za binadamu, tukiangazia hali ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza katika kipindi cha sasa cha mashambulizi ya kikatili ya Israel yanayofadhiliwa na Marekani na washirika wake dhidi ya watu wa Ghaza.
-
Unafiki wa nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu
Nov 24, 2022 08:59Matukio ya ndani ya miezi miwili iliyopita nchini Iran yamezifanya nchi za Ulaya zichukue hatua za kihasama za kuiwekea vikwazo na kuitishia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 33 na sauti
Apr 03, 2018 13:55Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 33 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 31 na sauti
Apr 03, 2018 13:15Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 31 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 27 na sauti
Feb 18, 2018 16:26Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 27 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 22 na sauti
Jan 11, 2018 10:28Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 22 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 18 na sauti
Nov 29, 2017 12:12Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 18 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.