Pars Today
Moja kati ya haki za msingi za binadamu katika jamii yoyote ile ni kujua kusoma na kuandika.
Tarehe 21 mwezi huu wa Februari ilisadifiana na Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama. Lugha, wapenzi wasikilizaji, ni kitu muhimu sana katika maisha ya kiumbe mwanadamu.
Tarehe 21 Februari inasadifiana na Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama.
Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel tarehe Mosi mwezi huu wa Januari 2019 zilijiondoa rasmi katika Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) zikilalamikia kile kilichotajwa ni mwelekeo wa jumuiya hiyo dhidi ya Israel.
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limeuweka mji wa al Khalil na Haram ya Nabii Ibrahim (as) katika orodha ya turathi za kimataifa zinazokabiliwa na hatari ya kutoweka na limelaani vikali hatua za utawala ghasibu wa Israel katika eneo hilo.
Eneo la Baitul Muqaddas (Jerusalem) na Haram tukufu ya Msikiti wa al Aqsa limekuwa likizusha hitilafu na migogoro kwa miaka mingi.
Tarehe 17 Oktoba ambayo mwaka huu imesadifiana na siku ya Jumatatu, huadhimishwa kila mwaka kwa jina la Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Umaskini.
Jeshi la Syria hivi karibuni liliukomboa mji wa kale wa Palmyra au Tadmur kutoka kwa kundi la magaidi wakufurishaji wa ISIS au Daesh. Makala yetu ya leo itaangazia kwa kifupi kuhusu mji huo muhimu na wa kihistoria nchini Syria