-
Mashambulizi ya Israel dhidi ya waandishi na vyombo vya habari Ukanda wa Gaza
May 20, 2021 08:17Zaidi ya Wapalestina 230 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya kikatili ya Israel yaliyoanza yapata siku kumi zilizopita. Zaidi ya 63 kati ya waliouliwa shahidi ni watoto na karibu 40 ni wanawake.
-
Jumatatu tarehe 17 Agosti mwaka 2020
Aug 17, 2020 02:28Leo ni Jumatatu tarehe 27 Dhulhija 1441 Hijria sawa na Agosti 17 mwaka 2020.
-
Alkhamis, tarehe 14 Mei, 2020
May 14, 2020 17:08Leo ni Alkhamisi tarehe 20 Ramadhani 1441 Hijria, sawa na tarehe 14 Mei, 2020 Miladia.
-
Sheikh Zakzaky na dhulma za kimyakimya dhidi ya Waislamu wa Nigeria
Jan 13, 2020 13:56Nigeria ina historia ya ukandamizaji wa harakati za Kiislamu. Ukatili, mauaji na ukandamizaji wa harakati za Kiislamu nchini Nigeria vilishadidi zaidi mwaka 2011.
-
Jumamosi, 17 Agosti, 2019
Aug 17, 2019 03:43Leo ni Jumamosi tarehe 15 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1440 Hijria sawa na tarehe 17 Agosti mwaka 2019 Miladia.
-
Mwisho wa Apartheid Afrika Kusini na kuendelea kwake maeneo mengine ya dunia
Jul 03, 2019 07:39Jumapili ya terehe 30 ilikuwa siku ya kumbukumbu ya tukio muhimu sana katika historia ya Afrka na dunia nzima. Ilikuwa siku ya kufutwa mfumo usio wa kibinadamu wa Apartheid huko Afrika Kusini mwaka 1991.
-
Ijumaa tarehe 7 Juni 2019
Jun 07, 2019 03:10Leo ni Ijumaa tarehe 7 Juni mwaka 2019.
-
Mwaka 2019 na kujiondoka Marekani na Israel katika shirika la UNESCO
Jan 09, 2019 08:48Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel tarehe Mosi mwezi huu wa Januari 2019 zilijiondoa rasmi katika Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) zikilalamikia kile kilichotajwa ni mwelekeo wa jumuiya hiyo dhidi ya Israel.
-
Jumapili, Oktoba 28, 2018
Oct 28, 2018 02:55Leo ni Jumapili tarehe 18 Mfungo Tano Swafar 1440 Hijiria, sawa na tarehe 28 Oktoba 2018 Miladia.
-
Alkhamisi, 12 Julai, 2018
Jul 12, 2018 04:06Leo ni Alkhamisi tarehe 28 Mfunguo Mosi Shawwal 1439 Hijria inayosadifiana na tarehe 12 Julai 2018.