-
Jumapili tarehe 6 Machi 2022
Mar 06, 2022 02:43Leo ni Jumapili tarehe 3 Shaabani 1443 Hijria sawa na tarehe 6 Machi 2022.
-
Mwili wa Ayatullah Lotfollah Safi Golpaygani kuzikwa leo katika mji wa Karbala, Iraq
Feb 03, 2022 08:18Mwili mtakatifu wa mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Ayatullah Safi Golpaygani umehamishiwa katika Msikiti wa Sheikh Tusi karibu na Haram ya Imam Ali bin Abi Twalib (AS) baada ya kuwasili katika mji mtakatifu wa Najaf.
-
Mchango wa Ruqayyah (a.s) Katika Kufikisha Ujumbe wa Ashura Kwa Walimwengu
Sep 12, 2021 02:21Assalaam alaykum wasikilizaji wapenzi wa Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Jumamosi, 28 Agosti, 2021
Aug 28, 2021 02:35Leo ni Jumamosi tarehe 19 Mfunguo Nne Muharram 1443 Hijria sawa na tarehe 28 Agosti 2021 Miladia.
-
Polisi Nigeria washambulia waombolezaji katika kumbukumbu ya Ashura
Aug 20, 2021 14:28Askari polisi nchini Nigeria jana Alkhamisi waliwashambulia waombolezaji katika kumbukumbu ya Ashura ya Imam Hussein (AS) na kuua na kujeruhi kadhaa miongoni mwao.
-
Swala ya Adhuhuri ya Ashura yaswaliwa kote katika Iran ya Kiislamu
Aug 19, 2021 15:37Waombolezaji kote katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo wameswali Swala ya Adhuhuri ya Ashura katika kumbukumbu ya siku aliyouawa shahidi kiongozi wa mashahidi, Imam Hussein AS.
-
Wingu la huzuni na majonzi latanda Iran katika maombolezo ya Ashura
Aug 19, 2021 08:02Wananchi Waislamu waombolezaji hapa Iran leo wanashiriki kwenye vikao vya maombolezo kukumbuka ushujaa na dhulma waliotendewa mashahidi wa Karbala kkwa mnasaba wa siku ya Ashura.
-
Wanazuoni wa Kiislamu Bahrain wawakosoa watawala wa ukoo wa Aal Khalifa kwa kuvunjia heshima nembo za kidini
Aug 17, 2021 02:33Wanazuoni wa Kiislamu wa Bahrain wamelaani vikali hatua za utawala wa kizazi cha Aal Khalifa wa nchi hiyo za kuvunjia heshima shughuli za kidini na nembo za maombolezo ya mwezi wa Muharram unaokumbusha mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) na kutoa wito wa kukomeshwa mara moja hatua hizo.
-
Jumanne tarehe 17 Agosti 2021
Aug 17, 2021 02:32Leo ni Jumanne tarehe 8 Muharram 1443 Hijria sawa na Agosti 17 mwaka 2021.
-
Jumatatu tarehe 16 Agosti mwaka 2021
Aug 16, 2021 02:19Leo ni Jumatatu tarehe 7 Muharram 1443 Hijria sawa na Agosti 16 mwaka 2021.