Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

َArubaini ya Imam Hussein

  • Shamkhani: Hakuna nchi inayoweza kudhuru usalama wa Iran

    Shamkhani: Hakuna nchi inayoweza kudhuru usalama wa Iran

    Oct 18, 2019 16:41

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameashiria uwezo wa kiulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kuwa hakuna nchi inayoweza kuusababishia madhara usalama wa Iran.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Matembezi ya Arubaini yamekuwa jinamizi kwa maadui

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Matembezi ya Arubaini yamekuwa jinamizi kwa maadui

    Oct 18, 2019 15:22

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema, Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein (as) ni safu za wapigania uhuru duniani wanaokabiliana na maadui; na akaongeza kwamba: Matembezi ya Arubaini yamegeuka kuwa jinamizi kwa maadui.

  • Iraq: Tutakabiliana kwa aina yoyote na hatua za kuibua farqa katika Arubaini ya Imam Hussein (as)

    Iraq: Tutakabiliana kwa aina yoyote na hatua za kuibua farqa katika Arubaini ya Imam Hussein (as)

    Oct 18, 2019 03:26

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Baraza la Mkoa wa Najaf nchini Iraq amesema kuwa, serikali ya inchi hiyo itachukua hatua kali dhidi ya hatua yoyote ya kuibua tofauti katika marasimu ya Arubaini ya Imam Hussein (as).

  • Upeo wa kimataifa wa Arubaini ya Imam Hussein (as) + Video

    Upeo wa kimataifa wa Arubaini ya Imam Hussein (as) + Video

    Oct 14, 2019 14:20

    Arubaini ya Imam Hussein (as) imekuwa ni ya kimataifa na itaendelea kupanuka zaidi katika upeo huo. Hii ni damu ya Hussein bin Ali (as) ambayo licha ya kupita miaka 1400, ingali inachemka na kuendelea kuwa mpya na hai zaidi siku baada ya nyingine. Huu ndio ujumbe ule ule wa Siku ya Ashura uliopazwa kupitia koo za Aba Abdillah al-Hussein (as) na Bibi Zainab (sa) katika kipindi kigumu zaidi cha upweke wao. Pamoja na hayo, hii leo ujumbe huo umeenea na kufika katika kila pembe ya dunia.

  • Ayatullah Kashani: Matembezi ya mamilioni katika Arubaini ya Imam Hussein AS yatafana zaidi

    Ayatullah Kashani: Matembezi ya mamilioni katika Arubaini ya Imam Hussein AS yatafana zaidi

    Oct 04, 2019 12:11

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran ameashiria machafuko ya hivi karibuni nchini Iraq na kuhusika maadui katika kuibua ghasia hizo na kusema: "Maadui wanajaribu kuvuruga matembezi ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya ya Imam Hussein AS lakini matembezi hayo yatafana na kuwa makubwa zaidi mwaka huu ikilinganishwa na miaka iliyopita.

  • Kiongozi Muadhamu: Matembezi  ya Arubaini yanaendelea kuchukua sura ya kimataifa

    Kiongozi Muadhamu: Matembezi ya Arubaini yanaendelea kuchukua sura ya kimataifa

    Sep 18, 2019 12:08

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, matembezi ya Arubaini yanaendelea kuchukua sura ya kimataifa na kuongeza kuwa: "Ujumbe wa Imam Hussein AS ni wa kuikomboa dunia kutoka katika utawala wa kambi ya ukafiri na uistikbari."

  • Mazuwari kutoka nchi zaidi ya 100 watashiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as) mwaka huu

    Mazuwari kutoka nchi zaidi ya 100 watashiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as) mwaka huu

    Sep 17, 2019 07:58

    Mwakilishi wa misafara ya mazuwari nchini Iraq amesema: Watu kutoka zaidi ya nchi 100, wakiwemo hata wasio Waislamu watashiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as) mwaka huu.

  • Rais Rouhani: Marekani itafeli tu katika njama zake mpya dhidi ya Iran

    Rais Rouhani: Marekani itafeli tu katika njama zake mpya dhidi ya Iran

    Oct 31, 2018 15:52

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya kuwepo vikwazo vya Marekani dhidi ya Tehran, lakini nchi nyingi duniani za Asia na Ulaya zina hamu ya kuendeleza ushirikiano wao na Iran.

  • Mamilioni waadhimisha kumbukumbu za maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (as) duniani kote

    Mamilioni waadhimisha kumbukumbu za maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (as) duniani kote

    Oct 30, 2018 14:48

    Mamilioni ya Waislamu wafuasi wa Ahlul-Bayti wa Mtume (saw) wameshiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu za Arubaini ya Imam Hussein (as), katika pembe mbalimbali za dunia.

  • Vyombo vya habari vya Magharibi vyakiri ukubwa wa Arubaini ya Imam Hussein (as)

    Vyombo vya habari vya Magharibi vyakiri ukubwa wa Arubaini ya Imam Hussein (as)

    Oct 30, 2018 13:44

    Licha ya harakati za duru za Magharibi za kuzuia kuakisiwa habari zinazohusiana na maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein (as), ukubwa wa tukio hilo haukuviachia vyombo vya habari vya Magharibi, chaguo jingine isipokuwa kukiri kuhusu ukubwa huo muhimu wa kihistoria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS