-
Kujihami kutakatifuu, siri na ufunguo wa kushinda njama zote za adui
Sep 27, 2018 10:37Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kumbukumbu za wapiganaji wa Kiislamu katika kipindi cha vita vya kujihami kutakatifu na familia zao ni hazina kubwa isiyo na mbadala na rasilimali ya taifa la Iran.
-
Ayatullah Jannati: Kujiondoa Marekani katika mapatano ya nyuklia ya Iran liwe funzo
Sep 04, 2018 13:32Mwenyekiti wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ahamad Jannati ameashiria Marekani kuvunja ahadi zake na kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran, JCPOA, na kusema hilo linapaswa kuwa funzo kuhusu mazungumzo na Marekani.
-
(Hatua kwa Hatua Hadi Siku ya Quds) Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu umuhimu wa Siku ya Kimataifa ya Quds
Jun 08, 2018 06:08Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumatatu ya wiki hii alitoa hotuba muhimu katika Haram ya Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambapo moja ya nukta muhimu zilizojikita kwenye hotuba yake hiyo ni kadhia ya Palestina na hasa Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo inaadhimishwa leo Ijumaa kote ulimwenguni.
-
Matamshi ya Kiongozi Muadhamu kuhusiana na matukio mbalimbali ya kieneo
Mar 22, 2018 06:57Jumatano ya jana Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu alikutana na idadi kubwa ya wafanya ziara na wakazi wanaoishi jirani na Haramu Tukufu ya Imam Ridha (as) mjini Mash'had kwa mnasaba wa sikukuu ya Nairuzi, ambapo alitoa ufafanuzi jumla kuhusiana na matukio mbalimbali ya eneo la Mashariki ya Kati na masuala ya dharura ya kiuchumi pamoja na mambo mengine muhimu.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Kuwepo Iran katika eneo hili hakuipendezi hata kidogo Marekani
Mar 09, 2018 06:25Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha wazi kwamba taifa la Iran liko tayari muda wote kumpigisha magoti adui yake na kusisitiza kuwa, uwepo wa Iran katika eneo hili hauihusu kivyovyote vile Marekani.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Siri ya ushindi wa karibuni Iraq ni umoja na uungaji mkono wa vijana waumini na mashujaa
Oct 26, 2017 16:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil-Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema, umoja wa kaumu tofauti na uungaji mkono wa serikali ya Iraq kwa vikosi vya wananchi na vijana waumini na mashujaa wa nchi hiyo ndio siri ya ushindi uliopatikana karibuni dhidi ya magaidi na waungaji mkono wao.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu udharura wa kuendelea kuimarika uwezo na nguvu za Iran
Oct 26, 2017 07:57Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu siku ya Jumatano, katika sherehe za pamoja za kuhitimu masomo, kula viapo na kupandishwa daraja wanachuo wa Chuo Kikuu cha Maafisa wa Kijeshi cha Imam Ali AS alisema: zana zozote za ulinzi na kitu chochote kile kinacholeta nguvu za taifa la Iran si kitu cha kufanyiwa muamala wa aina yoyote ile.
-
Kura ya maoni ya Kurdistan katika mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Oct 05, 2017 09:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei usiku wa jana Jumatano alionana na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ambapo aliashiria manufaa ya Marekani na utawala haramu wa Israel katika kura ya maoni iliyofanyika huko Kurdistan nchini Iraq na kusema kuwa: Marekani na madola mengine ya kibeberu hayaaminiki na yanataka kuanzisha "Israel mpya" katika eneo hili.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; kuwa na maelewano mazuri na dunia na kuwa imara katika kukabiliana na mabeberu
Aug 04, 2017 14:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameridhia chaguo la wananchi wa Iran na kumuidhinisha Dakta Hassan Rouhani kuwa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; Umuhimu wa Vyombo vya Mahakama Iran kujihusisha na masuala ya kimataifa
Jul 04, 2017 07:40Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kujihusisha Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni jambo muhimu na kuongeza kuwa: "Vyombo vya Mahakama Vinaweza kutumia nafasi ya kisheria.