Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Mawaziri wa Afya wa Afrika wazindua kampeni ya chanjo ya Polio katika eneo la Bonde la Ziwa Chad

    Mawaziri wa Afya wa Afrika wazindua kampeni ya chanjo ya Polio katika eneo la Bonde la Ziwa Chad

    Apr 18, 2025 10:45

    Mawaziri wa afya wa Afrika kutoka eneo la Bonde la Ziwa Chad wamezindua kampeni ya chanjo yenye lengo la kuwalinda watoto milioni 83 walio chini ya umri wa miaka 5 dhidi ya aina ya pili ya ugonjwa wa Polio.

  • Kofi la Afrika kwa Uzayuni; Mwakilishi wa Israel afukuzwa makao makuu ya AU

    Kofi la Afrika kwa Uzayuni; Mwakilishi wa Israel afukuzwa makao makuu ya AU

    Apr 08, 2025 23:36

    Jumatatu wiki hii balozi wa Israel nchini Ethiopia, Abraham Negussie, alifukuzwa katika Ukumbi wa Mandela katika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa.

  • Diop: Ukraine inachochea ukosefu wa utulivu barani Afrika

    Diop: Ukraine inachochea ukosefu wa utulivu barani Afrika

    Apr 08, 2025 03:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali, Abdoulaye Diop amesema Ukraine inavuruga utulivu barani Afrika kwa kuunga mkono makundi ya kigaidi katika eneo la Sahel barani humo.

  • Nia ya Russia ya kuzidisha uwepo wake barani Afrika

    Nia ya Russia ya kuzidisha uwepo wake barani Afrika

    Apr 06, 2025 04:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov ametangaza utayarifu wa nchi yake kutoa msaada wa pande zote kwa Muungano wa Nchi za Sahel barani Afrika katika nyanja za ulinzi, usalama na uchumi.

  • Russia: Tuko tayari kuunga mkono uhuru wa kidijitali wa Afrika

    Russia: Tuko tayari kuunga mkono uhuru wa kidijitali wa Afrika

    Apr 02, 2025 23:01

    Russia imesema iko tayari kupiga jeki nchi za Afrika katika kuendeleza teknolojia zinazohakikisha kuwa kuna utoshelevu na zinaheshimu mamlaka ya kujitawala nchi za bara hilo.

  • Guinea yatoa msamaha uliobua utata kwa kiongozi wa zamani wa kijeshi Dadis Camara

    Guinea yatoa msamaha uliobua utata kwa kiongozi wa zamani wa kijeshi Dadis Camara

    Mar 29, 2025 23:08

    Katika uamuzi wa kutatanisha, kiongozi wa utawala wa kijeshi wa Guinea, Jenerali Mamadi Doumbouya, ametoa msamaha wa rais kwa mtawala wa zamani wa kijeshi Moussa Dadis Camara.

  • Kwa nini Marekani inataka kuwekeza katika sekta ya madini nchini Kongo DR?

    Kwa nini Marekani inataka kuwekeza katika sekta ya madini nchini Kongo DR?

    Mar 12, 2025 09:02

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Marekani zinapanga kushirikiana katika mapatano ya kiuchumi na kisiasa.

  • Ni sababu gani zinazifanya nchi za Afrika ziamue kuitimua Ufaransa katika ardhi zao?

    Ni sababu gani zinazifanya nchi za Afrika ziamue kuitimua Ufaransa katika ardhi zao?

    Mar 09, 2025 22:57

    Ufaransa imeanza rasmi kuondoka katika ardhi ya Senegal kwa kukabidhi kambi mbili za kijeshi zilizoko kwenye nchi hiyo ya Kiafrika.

  • Mkuu wa WHO: Uongozi wa Kiafrika uko imara katika nyanja nyingi za afya duniani

    Mkuu wa WHO: Uongozi wa Kiafrika uko imara katika nyanja nyingi za afya duniani

    Mar 05, 2025 02:43

    Tedros Adhanom Ghebreyesus Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amebainisha kuwa uongozi wa Afrika una nguvu katika nyanja nyingi za afya duniani.

  • Kuwa tayari Iran kuimarisha uhusiano na nchi za Kiafrika

    Kuwa tayari Iran kuimarisha uhusiano na nchi za Kiafrika

    Mar 01, 2025 23:03

    Mshauri na Mjumbe Maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia na kusisitiza kuwa Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na Ethiopia na nchi za Kiafrika kwa ujumla.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS