Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Sisitizo la Rais wa Algeria la kuiunga mkono Russia licha ya mashinikizo ya Magharibi

    Sisitizo la Rais wa Algeria la kuiunga mkono Russia licha ya mashinikizo ya Magharibi

    Jun 17, 2023 23:17

    Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria siku ya Alkhamisi alisema baada ya kuonana na rais mwenzake wa Russia mjini Moscow kwamba, Algiers iko chini ya mashinikizo makubwa ya madola ya Magharibi yanayoitaka isishirikiane na Moscow kivyovyote vile.

  • Rais Sassou Nguesso: Afrika haiwezi kukaa kimya mkabala wa vita vya Russia na Ukraine

    Rais Sassou Nguesso: Afrika haiwezi kukaa kimya mkabala wa vita vya Russia na Ukraine

    Jun 13, 2023 07:53

    Rais Denis Sassou Nguesso wa Jamhuri ya Kongo amesema anaamini kuwa Afrika haiwezi kubakia kimya mkabala wa vita vinavyoendelea huko Ukraine. Rais Sassou Nguesso ameeeleza hayo akiwa safani nchini Ivory Coast katika ziara yenye lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi mbili hizo.

  • AU yaonya kuhusu matokeo mabaya ya kuendelea mapigano Sudan

    AU yaonya kuhusu matokeo mabaya ya kuendelea mapigano Sudan

    Jun 12, 2023 08:26

    Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) ameonya juu ya matokeo mabaya ya kuendelea vita na mapigano nchini Sudan. Mapigano hayo ni baina ya jeshi la Sudan linaloongozwa na Abdel Fattah al Burhan, na vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) chini ya uongozi wa Muhammad Hamdan Daghalo Kamanda.

  • Sheikh Ali Saeed: Urithi wa Imam Khomeini unaendelea kuwatia moyo Waislamu + Video

    Sheikh Ali Saeed: Urithi wa Imam Khomeini unaendelea kuwatia moyo Waislamu + Video

    May 31, 2023 05:32

    Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Ja'fari mjini Nairobi, mji mkuu wa Kenya amesema: Fikra za Imam Ruhullah Khomeini zinatia matumaini mema na ni nguzo ya kuwawezesha na kuwapa nguvu Waislamu duniani.

  • Iran yaipongeza Afrika kwa maadhimisho ya miaka 60 ya AU

    Iran yaipongeza Afrika kwa maadhimisho ya miaka 60 ya AU

    May 26, 2023 06:47

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameyapongeza mataifa ya Afrika kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 60 ya kuundwa Umoja wa Afrika.

  • AU yaonya: Afrika isigeuzwa uwanja wa kutunishiana misuli madola makubwa

    AU yaonya: Afrika isigeuzwa uwanja wa kutunishiana misuli madola makubwa

    May 26, 2023 06:24

    Viongozi wa Umoja wa Afrika (AU) wameyaonya madola makubwa duniani hasa ya Magharibi dhidi ya kuligeuza bara la Afrika kuwa medani ya malumbano na kutununishiana misuli, wakati huu ambapo baadhi ya nchi za bara hilo zinakabiliwa na changamoto za kiusalama.

  • Ripoti: Ulaya inatupa barani Afrika na Asia asilimia 90 ya nguo za mitumba

    Ripoti: Ulaya inatupa barani Afrika na Asia asilimia 90 ya nguo za mitumba

    May 24, 2023 21:56

    Ripoti ya karibuni inaonyesha kuwa asilimia 90 ya nguo zilizotumika na taka za nguo kutoka nchi za Ulaya zimekuwa zikipelekwa Afrika na Asia kupitia mauzo ya nje.

  • UN: Eneo la Sahel Afrika linahitaji msaada wa kimataifa ili kupambana na wanamgambo wenye silaha

    UN: Eneo la Sahel Afrika linahitaji msaada wa kimataifa ili kupambana na wanamgambo wenye silaha

    May 17, 2023 21:37

    Eneo la Sahel barani Afrika limekuwa kitovu cha jinai na vitendo vya uchupaji mipaka, hata hivyo kikosi maalumu cha wanajeshi kilichoundwa mwaka 2014 kutokomeza makundi ya waasi yenye mfungamano na makundi ya kigaidi ya Daesh (ISIS), al Qaida na mengineyo, kimeshindwa kuzuia hujuma na mashambulizi ya makundi hayo.

  • Ujerumani: Tunaunga mkono Afrika iwe mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la UN

    Ujerumani: Tunaunga mkono Afrika iwe mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la UN

    May 06, 2023 08:42

    Kansela Olaf Scholz wa Ujerumani amesema nchi yake inaunga mkono mpango wa bara la Afrika kuwa na uwakilishi wa kudumu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • NGO's: Mtu mmoja hufariki dunia kwa njaa kila baada ya sekunde 36 kuanzia Sahel hadi Pembe ya Afrika

    NGO's: Mtu mmoja hufariki dunia kwa njaa kila baada ya sekunde 36 kuanzia Sahel hadi Pembe ya Afrika

    Apr 28, 2023 07:57

    Umoja wa Mataifa na mashirika yasiyo ya kiserikali yametangaza kwamba mtu mmoja hufariki dunia kwa njaa kila baada ya sekunde 36 katika nchi za Ethiopia, Kenya na Somalia, huku watu milioni 18.6 wakikabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula katika eneo la Sahel barani Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS