Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • WHO: Vifo vya corona vyaongezeka kwa asilimia 40 barani Afrika

    WHO: Vifo vya corona vyaongezeka kwa asilimia 40 barani Afrika

    Jul 16, 2021 22:44

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti kuwa, kiwango cha vifo vinavyosababishwa na ugonjwa wa Covid-19 vimeongezeka kwa asilimia 40 barani Afrika ikilinganishwa na wiki iliyopita.

  • Wagonjwa wa corona barani Afrika wapindukia milioni 6, Afrika Kusini bado inaongoza

    Wagonjwa wa corona barani Afrika wapindukia milioni 6, Afrika Kusini bado inaongoza

    Jul 14, 2021 08:02

    Kesi zilizothibitishwa za maambukizi ya Covid-19 katika nchi 55 za Kiafrika hadi kufikia leo tarehe 14 Julai zimepindukia watu 6 na elfu 22.

  • Umoja wa Afrika watoa wito wa kurejeshwa amani na utulivu Afrika Kusini

    Umoja wa Afrika watoa wito wa kurejeshwa amani na utulivu Afrika Kusini

    Jul 14, 2021 05:16

    Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, amelaani kwa nguvu zote vurugu na machafuko makubwa yanayoendelea nchini Afrika Kusini baada ya rais wa zamani wa nchi hiyo, Jacob Zuma kufungwa jela miezi 15 kwa tuhuma za kuhusika na ufisadi na utumiaji mbaya wa madaraka yake.

  • Kikao cha viongozi wa Ufaransa na kundi la nchi tano za Sahel

    Kikao cha viongozi wa Ufaransa na kundi la nchi tano za Sahel

    Jul 11, 2021 03:52

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameonana na wakuu wa nchi tano za eneo la Sahel ya Afrika ambazo ni Chad, Mali, Burkina Faso, Mauritania na Niger. Ingawa kikao hicho kimefanyika kwa njia ya Intaneti, lakini Rais Mohammad Bazoum wa Niger yeye ameshiriki kikao hicho akiwa ziarani nchini Ufaransa.

  • Wasichana wahajiri wa Kiafrika wananajisiwa na hata kupewa ujauzito katika kambi ya EU, Libya

    Wasichana wahajiri wa Kiafrika wananajisiwa na hata kupewa ujauzito katika kambi ya EU, Libya

    Jun 21, 2021 08:12

    Kundi la wasichana wahamiaji waliowekwa katika kituo kinachosimamiwa na serikali ya Libya wamewashutumu walinzi wa kituo hicho, kinachofadhiliwa na Umoja wa Ulaya, kwamba wanawabaka na kuwanyanyasa kingono.

  • Waafrika milioni 146 wanakufa kila mwaka kwa magonjwa yanayohusishwa na tumbaku

    Waafrika milioni 146 wanakufa kila mwaka kwa magonjwa yanayohusishwa na tumbaku

    Jun 19, 2021 00:42

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limefichua kuwa, watu wasiopungua milioni 146 wanafariki dunia kila mwaka kutokana na magonjwa yanayonasibishwa na matumizi ya tumbaku barani Afrika.

  • Wanahabari wa Afrika wataka Israel iwajibishwe kwa shambulio la Gaza

    Wanahabari wa Afrika wataka Israel iwajibishwe kwa shambulio la Gaza

    Jun 15, 2021 22:04

    Waandishi wa habari wa Afrika wameutaka Umoja wa Afrika (AU) ulaani mienendo ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwashambulia wanahabari wa Palestina, sanjari na kuubebesha dhima kisheria utawala huo kwa jinai zake dhidi ya wanahabari.

  • Africa CDC: Ni asilimia 0.6 tu ya watu wa Afrika ndio waliopata chanjo kamili ya COVID-19

    Africa CDC: Ni asilimia 0.6 tu ya watu wa Afrika ndio waliopata chanjo kamili ya COVID-19

    Jun 11, 2021 08:12

    Kituo cha Udhibiti wa Magonjwa Afrika (Africa CDC) kimetangaza kuwa, hadi sasa nchi za Afrika zimepata dozi milioni 55 za chanjo za COVID-19.

  • Viongozi wa Kiafrika wajadili hali ya kisiasa Chad; wawataka wanasiasa kuzingatia maslahi ya taifa

    Viongozi wa Kiafrika wajadili hali ya kisiasa Chad; wawataka wanasiasa kuzingatia maslahi ya taifa

    Jun 05, 2021 03:28

    Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Katikati mwa Afrika wamekutana huko Brazaville mji mkuu wa Congo kufuatia kuongezeka hali ya wasiwasi katika nchi ya Chad. Viongozi wa Congo, Angola, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameshiriki kikao hicho.

  • AU pia yasimamisha uanachama wa Mali, yatishia vikwazo

    AU pia yasimamisha uanachama wa Mali, yatishia vikwazo

    Jun 02, 2021 02:21

    Umoja wa Afrika umetangaza kusimamisha uanachama wa Mali, ikiwa ni jibu kwa hatua ya wiki iliyopita ya jeshi la nchi hiyo ya Afrika Magharibi kufanya mapinduzi dhidi ya serikali ya mpito.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS