Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • AU yataka Afrika iwe na 'sauti' katika Baraza la Usalama la UN

    AU yataka Afrika iwe na 'sauti' katika Baraza la Usalama la UN

    Sep 23, 2020 04:48

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni Mwenyekiti wa kiduru wa Umoja wa Afrika (AU) amesema muundo wa hivi sasa wa Baraza la Usalama la umoja huo unapaswa kuangaliwa upya kwa kuwa namna ulivyo hauakisi taswira halisi ya dunia ya leo.

  • Vyombo vya Usalama Afrika Kusini: Hakuna ushahidi wa madai ya US dhidi ya Iran

    Vyombo vya Usalama Afrika Kusini: Hakuna ushahidi wa madai ya US dhidi ya Iran

    Sep 19, 2020 08:26

    Idara ya Usalama wa Taifa ya Afrika Kusini imesema hakuna ushahidi wowote iliyoupata wa madai ya Marekani kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapanga kumuua Lana Marks, Balozi wa Marekani katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.

  • Afrika Kusini yakadhibisha tuhuma za Marekani dhidi ya Iran

    Afrika Kusini yakadhibisha tuhuma za Marekani dhidi ya Iran

    Sep 19, 2020 06:34

    Baada ya Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, serikali ya Rais Donald Trump ilizidisha mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa shabaha ya eti kulemaza uchumi wa Iran na imekuwa ikitumia kila liwezekanalo kuanzisha vita vya kinafsi na kisaikolojia ikiwa ni pamoja na kutoa vitisho dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Afrika Kusini: Madai ya Marekani dhidi ya Iran ni ya kustaajabisha

    Afrika Kusini: Madai ya Marekani dhidi ya Iran ni ya kustaajabisha

    Sep 17, 2020 23:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini ameeleza juu ya kustaajabishwa na kushangazwa kwake na madai ya Marekani kuwa Iran inapanga kumuua Lana Marks, Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini.

  • Iran: Hakuna anayejali tena urongo wa vyombo vya intelijensia vya Marekani

    Iran: Hakuna anayejali tena urongo wa vyombo vya intelijensia vya Marekani

    Sep 15, 2020 22:09

    Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Afrika Kusini umetangaza kuwa, dunia bado haijasahu uongo wa vyombo vya intelijensia vya Marekani uliotumiwa kuanzisha vita dhidi ya Iraq.

  • Afrika Kusini yakosoa madai ya viongozi wa Marekani dhidi ya Iran

    Afrika Kusini yakosoa madai ya viongozi wa Marekani dhidi ya Iran

    Sep 14, 2020 22:07

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Afrika Kusini ameyataja madai yaliyotolewa na viongozi wa Marekani dhidi ya Iran kuwa hayana msingi wowote.

  • Wahudumu wa afya waandamana Afrika Kusini, watishia kugoma

    Wahudumu wa afya waandamana Afrika Kusini, watishia kugoma

    Sep 03, 2020 22:07

    Wahudumu wa afya nchini Afrika Kusini wamefanya maandamano katika miji ya Pretoria na Cape Town, kulalamikia mazingira magumu ya kufanyia kazi, huku wakiitaka serikali ikabiliane na ufisadi unaoshuhudiwa katika uagizaji wa mavazi maalumu na suhula za kupambana na ugonjwa wa Covid-19.

  • Kampuni ya Novavax yaanza uchunguzi wa marhala ya kati wa chanjo ya Covid-19 nchini Afrika Kusini

    Kampuni ya Novavax yaanza uchunguzi wa marhala ya kati wa chanjo ya Covid-19 nchini Afrika Kusini

    Aug 18, 2020 02:27

    Kampuni ya kutengeneza dawa ya Marekani ya Novavax Inc imesema kuwa inaanza utafiti wake wa marhala ya kati ya kuifanyia majaribio chanjo ya ugonjwa wa Covid-19 nchini Afrika Kusini.

  • Mjukuu wa Mandela akosoa mapatano ya kuanzisha uhusiano baina ya Imarati na Israel

    Mjukuu wa Mandela akosoa mapatano ya kuanzisha uhusiano baina ya Imarati na Israel

    Aug 15, 2020 22:41

    Mjukuu wa shujaa wa mapambano dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini amekosoa mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia baina ya Imarati na utawala haramu wa Israel.

  • Waziri wa Polisi Afrika Kusini: Uhalifu “umeenda likizo” katika kipindi cha maambukizi ya corona

    Waziri wa Polisi Afrika Kusini: Uhalifu “umeenda likizo” katika kipindi cha maambukizi ya corona

    Aug 15, 2020 06:09

    Takwimu zinaonesha kuwa kesi za visa vya uhalifu, katika nchi iliyoathiriwa sana na kiwango cha juu cha jinai na uhalifu ya Afrika Kusini, zimepungua sana katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza ya utekelezaji wa sheria kali za kupambana na maambukizi ya virusi vya corona nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS