-
Mawaziri 2 wa Afrika Kusini walioambukizwa Covid-19 walazwa hospitalini
Jul 21, 2020 22:02Mawaziri wawili wa Afrika Kusini wamelazwa hospitalini siku chache baada ya kubainika kuwa wameambukizwa ugonjwa wa Covid-19 (corona).
-
Afrika Kusini yaweka rekodi mpya baada ya watu zaidi ya 200 kufa kwa corona jana
Jul 17, 2020 03:34Afrika Kusini ambayo inaonekana kuwa kitovu cha maambukizi ya virusi vya corona barani Afrika kwa sasa imeweka rekodi mpya, baada ya watu zaidi ya 200 kupoteza maisha kwa ugonjwa wa Covid-19 ndani ya masaa 24 jana Alkhamisi.
-
Watu watano Afrika Kusini wauawa katika malumbano ya makundi hasimu kanisani
Jul 12, 2020 08:45Watu watano wameuawa katika hujuma dhidi ya kanisa nchini Afrika Kusini kusini mwa mji wa Johannesburg. Katika tukio hilo la Jumamosi, washambuliaji hao wenye silaha pia waliwachukua mateka watu kadhaa ambao wamenusuriwa katika oparesheni ya polisi.
-
Afrika Kusini yatangaza, Waislamu wa nchi hiyo hawatashiriki katika ibada ya Hija, Saudia inachunguza hali ya mambo
Jun 16, 2020 06:47Maambukizi ya virusi vya corona yamewazuia Waislamu wa Afrika Kusini kushiriki katika ibada ya Hija mwaka huu.
-
Afrika Kusini yafungua shule licha ya hofu ya wazazi na walimu
Jun 08, 2020 07:48Wanafunzi nchini Afrika Kusini wameanza kurejea shuleni Jumatatu ya leo baada ya skuli hizo kufungwa kwa miezi kadhaa kutokana na janga la corona.
-
Wataalamu waonya; huenda corona ikaua 50,000 nchini Afrika Kusini
May 22, 2020 03:29Wanasayansi wametahadharidha kuwa, huenda vifo vya ugonjwa wa Covid-19 nchini Afrika Kusini vikapindukia 50,000 kufikia mwishoni mwa mwaka huu 2020.
-
Maadhimisho ya Siku ya Quds kufanyika kwenye mitandao ya kijamii Afrika Kusini
May 12, 2020 10:21Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds ya mwaka huu yanatazamiwa kufanyika katika ukumbi wa Instagram na mitandao mingine ya kijamii nchini Afrika Kusini, kutokana na janga la corona.
-
Afrika Kusini yaomba radhi kwa matamshi ya 'kufuru' ya polisi katika uvamizi wa msikiti
Apr 27, 2020 07:20Waziri wa Polisi wa Afrika Kusini, Bheki Cele ameomba radhi kwa maneno ya "kufuru" yaliyotolewa na polisi kwa Waislamu waliokuwa wakitekeleza ibada ya Swala wakati polisi hao alipovamia msikiti wakitekeleza marufuku ya shughuli zote katika kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya corona.
-
Kesi za corona Afrika Kusini zapindukia 1,000, vifo vya kwanza vyaripotiwa nchini humo na Kenya
Mar 27, 2020 03:43Idadi ya watu waliothibitishwa kuambukizwa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona nchini Afrika Kusini imeongezeka na kupindukia watu 1000.
-
Afrika Kusini kujenga uzio katika mpaka wake na Zimbabwe
Mar 20, 2020 09:57Serikali ya Afrika Kusini imesema inajiandaa kujenga uzio wa kilomita 40 katika mpaka wa nchi hiyo na Zimbabwe, kwa lengo la kuzuia wahamiaji haramu kuingia nchini humo, na pia kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Corona nchini humo.