• Polisi Kenya yazima shambulio jingine la al Shabaab

    Polisi Kenya yazima shambulio jingine la al Shabaab

    Jan 21, 2019 13:04

    Polisi ya Kenya imezima shambulio la wanamgambo wanaoshukiwa kuwa ni wa kundi la kigaidi la al Shabaab katika kampuni moja ya ujenzi inayomilikiwa na Wachina magharibi mwa nchi hiyo. Hayo yamesemwa leo na afisa mmoja wa Kenya siku chache baada ya kundi hilo la kigaidi kuuwa watu 21 jijini Nairobi.

  • Jeshi la Ethiopia lajiandaa kuadhibu vikali magaidi wa Al Shabab baada ya askari wake 50 kuuawa

    Jeshi la Ethiopia lajiandaa kuadhibu vikali magaidi wa Al Shabab baada ya askari wake 50 kuuawa

    Jan 20, 2019 10:35

    Jeshi la Ethiopia limetangaza kuwa linajiandaa kufanya mashambulizi makubwa dhidi ya kundi la kigaidi la Al Shabab, baada ya kundi hilo kushambulia msafara wa magari ya jeshi la Ethiopia karibu na mji wa Burhakaba wa Somalia.

  • Magaidi wasambaratishwa Dusit Hotel, majeshi ya Kenya yapongezwa

    Magaidi wasambaratishwa Dusit Hotel, majeshi ya Kenya yapongezwa

    Jan 16, 2019 12:47

    Baada ya Rais Uhuru Kenya wa Kenya kulihutubia Taifa na kutangaza kumalizika shambulizi la kigaidi na utekaji nyara uliodumu kwa muda wa masaa 19 katika Hoteli ya Dusit jijini Nairobi, viongozi mbalimbali wakiwemo wanasiasa wamejitokeza kuvipongeza vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo kwa kufanikiwa kuwasambaratisha magaidi hao.

  • Jeshi la Kenya laua magaidi 7 wa al-Shabaab Somalia

    Jeshi la Kenya laua magaidi 7 wa al-Shabaab Somalia

    Jan 02, 2019 03:52

    Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) limetangaza kufanikiwa kuwaangamiza magaidi saba wa kundi la al-Shabaab na kuwajeruhi wengine kadhaa katika operesheni ya kusini mwa Somalia.

  • Mratibu wa mashambulizi yaliyoua makumi ya watu Mogadishu auawa Somalia

    Mratibu wa mashambulizi yaliyoua makumi ya watu Mogadishu auawa Somalia

    Dec 24, 2018 10:17

    Mratibu wa mashambulizi ya kigaidi yaliyoua makumi ya raia na kujeruhi wengine wasiopungua 40 mwaka 2017 mjini Mogadishu ameuawa leo nchini Somalia.

  • Jeshi la Somalia na AU zafanya operesheni ya pamoja dhidi ya al Shabab

    Jeshi la Somalia na AU zafanya operesheni ya pamoja dhidi ya al Shabab

    Dec 17, 2018 11:52

    Mkuu wa mipango ya opereshenei ya kikosi cha Umoja wa Afrika cha kulinda amani Somalia (AMISOM) amesema kuwa, askari wa kikosi hicho na wale wa serikali wanaendesha kwa pamoja operesheni ya kupambana na magaidi wa al Shabab kusini mwa Somalia.

  • Amisom: Hatujahusika na kukamatwa kamanda wa zamani wa al-Shabaab

    Amisom: Hatujahusika na kukamatwa kamanda wa zamani wa al-Shabaab

    Dec 15, 2018 04:07

    Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia, Amisom kimekanusha madai kuwa kilihusika katika operesheni ya kumtia mbaroni aliyekuwa Naibu Kamanda wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab na pia msemaji wa zamani wa genge hilo la ukufurishaji, Mukhtar Robow Abu Mansur.

  • Nchi za Afrika zataka msaada wa UN kuituliza Somalia

    Nchi za Afrika zataka msaada wa UN kuituliza Somalia

    Dec 14, 2018 03:19

    Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika zimesema zitaomba uungaji mkono wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuiwezesha Tume ya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kutuliza hali ya Somalia.

  • Ghasia Somalia baada ya kamanda wa zamani wa al-Shabaab kukamatwa

    Ghasia Somalia baada ya kamanda wa zamani wa al-Shabaab kukamatwa

    Dec 13, 2018 10:27

    Watu wanne wameuawa nchini Somalia katika ghasia zilizoibuka baada ya kukamatwa aliyekuwa Naibu Kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab na pia msemaji wa zamani wa genge hilo la ukufurishaji, Mukhtar Robow Abu Mansur.

  • Al-Shabaab ya Somalia yaua 5 kwa tuhuma za ujasusi

    Al-Shabaab ya Somalia yaua 5 kwa tuhuma za ujasusi

    Oct 10, 2018 11:19

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab la Somalia lenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda limewaua kwa kuwamiminia risasi watu watano kwa tuhuma za kufanya ujasusi kwa niaba ya vyombo vya kiintelejensia vya Marekani, Uingereza na Somalia.