-
Magaidi 60 wa al-Shabaab waangamizwa kusini ya Somalia
Jul 28, 2023 02:26Wanachama wasiopungua 60 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameuawa katika operesheni ya pamoja ya jeshi la Somalia na vikosi vya kigeni kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Magaidi 19 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab waangamizwa Somalia
Jun 12, 2023 11:16Wanachama wasiopungua 19 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameangamizwa kufuatia operesheni ya jeshi la Somalia katika eneo la kusini la Lower Shabelle.
-
17 wauawa katika mapigano baina ya al-Shabaab na jeshi la Somalia
May 30, 2023 16:18Kwa akali watu 17 wameuawa baada ya wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab kushambulia kambi ya jeshi katika mji wa Masagawa, katikati ya Somalia.
-
Umoja wa Afrika waanza kuchunguza chanzo cha kuanguka helikopta ya kikosi chake Somalia
Feb 27, 2023 11:20Ujumbe wa Umoja wa Afrika nchini Somalia umetangaza kuanza uchunguzi kuhusu sababu za ajali ya helikopta ya kikosi cha kulinda amani cha umoja huo iliyotokea nchini Somalia.
-
Askari wa jeshi la Kenya waua magaidi wa al-Shabab katika mpaka wa nchi hiyo na Somalia
Feb 17, 2023 07:28Askari wa Jeshi la Ulinzi wa Kenya KDF wamewaua magaidi watatu wa kundi la ukufurishaji la Al-Shabaab la Somalia katika eneo la Sarira kwenye mpaka wa pamoja wa nchi hizo mbili.
-
Jeshi la Somalia latoa pigo jingine kwa al-Shabaab, laua 117 Mudug
Feb 13, 2023 02:34Idadi kubwa ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia katika eneo la Mudug jimboni Galmudug, katikati nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Mkutano wa kilele wa Somalia waahidi kuchukua "hatua ya mwisho" ya kulimaliza kundi la Al-Shabaab
Feb 02, 2023 07:23Viongozi wa Somalia na nchi jirani wameahidi katika mkutano wa kilele uliofanyika jana Jumatano katika mji mkuu Somalia, Mogadishu, "kuchukua hatua za mwisho" dhidi ya kundi la Al-Shabaab.
-
Mkutano wa kujadili vita dhidi ya Al-Shabaab wafanyika Somalia
Feb 02, 2023 02:09Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia jana Jumatano alikuwa mwenyeji wa mkutano wa viongozi wa nchi kadhaa jirani uliofanyika kwa lengo la kujadili mikakati ya kikanda ya kupambana na wanamgambo wa kundi la al Shabaab lenye makao yake huko Somalia.
-
Jeshi la Somalia lakomboa mji wa kistratejia katika ngome ya al-Shabaab
Jan 17, 2023 13:11Vikosi vya serikali ya Somalia vimefanikiwa kuukomboa mji wa kistratejia wa Harardhere, moja ya ngome za kundi la kigaidi la al-Shabaab karibu na Bahari Hindi.
-
Rais wa Somalia awataka raia wawafurushe 'kunguni' wa al-Shabaab
Jan 14, 2023 03:49Rais wa Somalia ametoa mwito kwa raia wa nchi hiyo waunge mkono jitihada za vyombo vya usalama za kupambana na ugaidi kwa kuwatimua wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab aliowataja kuwa 'makunguni'.