• Mchango wa Iran katika kuunga mkono kambi ya muqawama na kupambana na ugaidi wa kimataifa

    Mchango wa Iran katika kuunga mkono kambi ya muqawama na kupambana na ugaidi wa kimataifa

    Feb 07, 2016 08:42

    Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nami katika mfululizo mwengine wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ambapo leo tutazungumzia Mchango wa Iran katika kuunga mkono kambi ya muqawama na kupambana na ugaidi wa kimataifa. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi kusikiliza niliyokuandalieni katika mfululizo huu.

  • Nafasi ya msikiti wakati wa kutokea Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

    Nafasi ya msikiti wakati wa kutokea Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

    Feb 07, 2016 08:31

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hususan huko nyumbani AfrikaMashariki. Ninakukaribisheni mjiunge nami katika kipindi hiki maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa masiku haya adhimu ya kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran uliopatikana mwaka 1979 kwa uongozi wa hekima na busara wa Imam Ruhullah Musawi al-Khomeini (r.a).

  • Fikra ya Mapinduzi ya Kiislamu mkabala na fikra ya Ukufurishaji na Utovu wa kufikiri

    Fikra ya Mapinduzi ya Kiislamu mkabala na fikra ya Ukufurishaji na Utovu wa kufikiri

    Feb 06, 2016 13:04

    Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nami katika mfululizo huu wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ambapo leo tutazungumzia Fikra ya Mapinduzi ya Kiislamu mkabala na fikra ya Ukufurishaji na ya Utovu wa kufikiri. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi kusikiliza niliyokuandalieni katika mfululizo huu.

  • Taathira ya Mapinduzi ya Kiislamu katika Hali ya Wanawake Kimataifa

    Taathira ya Mapinduzi ya Kiislamu katika Hali ya Wanawake Kimataifa

    Feb 06, 2016 11:24

    Tuko katika siku za kukaribia kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu; mapinduzi ambayo yameweza kuleta mabadiliko makubwa katika nyuga zote hasa katika masuala ya kiutamaduni, kijamii na kisiasa.

  • Imam Khomeini na kubadilishwa fikra ya mwamko wa Kiislamu kuwa mwenendo wa Kisiasa

    Imam Khomeini na kubadilishwa fikra ya mwamko wa Kiislamu kuwa mwenendo wa Kisiasa

    Feb 03, 2016 07:20

    Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran kwa uongozi wa Imam Khomeini (MA) na kuanzishwa kwa serikali iliyosimama juu ya msingi wa mafundisho ya Uislamu halisi, ulifungua ukurasa mpya katika ulimwengu wa siasa.

  • Taathira za Mapinduzi ya Kiislamu katika Harakati ya Kuhuisha Fikra za Kidini

    Taathira za Mapinduzi ya Kiislamu katika Harakati ya Kuhuisha Fikra za Kidini

    Feb 03, 2016 07:10

    Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya vipindi maalumu vinavyokujieni katika kipindi hiki cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Ni matumaini yangu kuwa mtaendelea kuwa nasi hadi mwisho.

  • Mapinduzi ya Kiislamu; kigezo cha kuiga katika kukabiliana na siasa za kibeberu za Magharibi

    Mapinduzi ya Kiislamu; kigezo cha kuiga katika kukabiliana na siasa za kibeberu za Magharibi

    Feb 03, 2016 07:06

    Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika mfululizo huu wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ambapo leo tutayazungumzia Mapinduzi ya Kiislamu, kama kigezo cha kuiga katika kukabiliana na siasa za kibeberu za Magharibi. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi kusikiliza niliyokuandalieni katika mfululizo huu.

  • Taathira za Mapinduzi ya Kiislamu katika Harakati ya Kuhuisha Fikra za Kidini

    Taathira za Mapinduzi ya Kiislamu katika Harakati ya Kuhuisha Fikra za Kidini

    Feb 01, 2016 08:30

    Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu nyingine ya vipindi maalumu vinavyokujieni katika kipindi hiki cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Ni matumaini yangu kuwa mtaendelea kuwa nasi hadi mwisho.