-
Araqchi: Uhusiano wa Iran na Algeria uko imara, ni wa kihistoria
Apr 10, 2025 12:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Algeria ni nchi kubwa na yenye taathira katika Ulimwengu wa Kiislamu na kwamba uhusiano kati ya nchi hiyo na Iran ni mkubwa, imara na wa siku nyingi.
-
Iran: Nyuklia na kuondolewa vikwazo ndizo maudhui pekee za mazungumzo
Apr 10, 2025 03:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa: Suala la nyuklia kwa maana ya kuhakikisha mradi wa nyuklia wa Iran ni wa amani kikamilifu na kuondolewa vikwazo, ndiyo masuala pekee yanyojadiliwa kwenye mazungumzo.
-
Iran na Algeria zasisitiza kupanua ushirikiano wa pande mbili
Apr 09, 2025 03:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekutana na Rais wa Algeria na kubadilishana mawazo kuhusu masuala muhimu zaidi ya pande mbili, kieneo na kimataifa.
-
Baraza la Usalama kufanya mkutano wa dharura kujadili Gaza
Apr 03, 2025 07:06Algeria imeomba kufanyika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili hali ya Palestina. Mkutano huo unatazamiwa kufanyika leo Alkhamisi.
-
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Yafunguliwa Algeria
Jan 22, 2025 13:33Mashindano ya 20 ya Kimataifa ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani ya Algeria yamefunguliwa huko Algiers, mji mkuu wa Algeria.
-
Iran na Algeria zatilia mkazo udharura wa kushirikiana kupambana na Israel
Nov 26, 2024 02:27Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amefanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Algeria na pande mbili zimetilia mkazo udharura wa kushirikiana mabunge ya nchi zao kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza na Lebanon.
-
Pezeshkian: Iran imeazimia kuimarisha uhusiano na Algeria
Nov 02, 2024 03:00Rais wa Iran Masoud Pezeshkian ameipongeza Algeria kwa kuadhimisha miaka 70 ya mapinduzi yake, akielezea utayarifu wa Iran wa kuimarisha uhusiano na nchi hiyo ya Kiarabu katika nyuga mbali mbali.
-
Ijumaa, tarehe Mosi Novemba, 2024
Nov 01, 2024 02:27Leo ni Ijumaa tarehe 28 Rabiuthani 1446 Hijria sawa na tarehe Mosi Novemba 2024.
-
Alkhamisi, tarehe 19 Septemba, 2024
Sep 19, 2024 04:29Leo ni Alkhamisi tarehe 15 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hijria sawa na 19 Septemba mwaka 2023.
-
Boko Haram waua wanakijiji 127, wachoma moto maduka na nyumba kaskazini ya Nigeria
Sep 04, 2024 02:42Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa ni wa kundi la kigaidi la Boko Haram wamevamia kijiji cha kaskazini mashariki mwa Nigeria wakiwa na pikipiki na kufyatua risasi sokoni na kuteketeza maduka na nyumba sambamba na kuua watu wapatao 127. Hayo ni kwa mujibu wa Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International na Polisi ya Nigeria.