-
Pezeshkian: Iran imeazimia kuimarisha uhusiano na Algeria
Nov 01, 2024 23:30Rais wa Iran Masoud Pezeshkian ameipongeza Algeria kwa kuadhimisha miaka 70 ya mapinduzi yake, akielezea utayarifu wa Iran wa kuimarisha uhusiano na nchi hiyo ya Kiarabu katika nyuga mbali mbali.
-
Ijumaa, tarehe Mosi Novemba, 2024
Oct 31, 2024 22:57Leo ni Ijumaa tarehe 28 Rabiuthani 1446 Hijria sawa na tarehe Mosi Novemba 2024.
-
Alkhamisi, tarehe 19 Septemba, 2024
Sep 19, 2024 00:59Leo ni Alkhamisi tarehe 15 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hijria sawa na 19 Septemba mwaka 2023.
-
Boko Haram waua wanakijiji 127, wachoma moto maduka na nyumba kaskazini ya Nigeria
Sep 03, 2024 23:12Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa ni wa kundi la kigaidi la Boko Haram wamevamia kijiji cha kaskazini mashariki mwa Nigeria wakiwa na pikipiki na kufyatua risasi sokoni na kuteketeza maduka na nyumba sambamba na kuua watu wapatao 127. Hayo ni kwa mujibu wa Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International na Polisi ya Nigeria.
-
Mwanajudo wa Algeria akataa kushindana na mwakilishi wa Israel katika Michezo ya Olimpiki ya Paris
Jul 29, 2024 22:58Judoka wa Algeria amekataa kushindana na mwakilishi wa utawala haramu wa Israel katika Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024.
-
Algeria yasimamisha matamasha ya sanaa kuiunga mkono Gaza
Jul 13, 2024 08:07Wizara ya Utamaduni ya Algeria imetangaza kusimamisha matamasha yote makubwa ya sanaa katika msimu huu wa joto kali, kuonyesha mshikamano na wananchi madhulumu wa Wapalestina wanaoendelea kuuawa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Ijumaa, tarehe 5 Julai, 2024
Jul 04, 2024 22:48Leo ni Ijumaa tarehe 28 Dhulhija 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 5 Julai mwaka 2024.
-
Alkhamisi, Juni 20, 2024
Jun 19, 2024 23:19Leo ni Akhamisi tarehe 13 Mfunguo Tatu Dhulhija 1445 Hijria sawa na tarehe 20 Juni 2024 Miladia.
-
Ijumaa, 14 Juni, 2024
Jun 13, 2024 22:43Leo ni Ijumaa tarehe 7 Mfunguo Tatu Dhul-Hijja 1445 Hijria mwafaka na tarehe 14 Juni 2024 Miladia.
-
Jumapili, 9 Juni, 2024
Jun 08, 2024 22:49Leo ni Jumapili tarehe Pili Mfunguo Tatu Dhul-Hijja 1445 Hijria sawa na tarehe 9 Juni mwaka 2024 Miladia.