-
Ijumaa, 14 Juni, 2024
Jun 13, 2024 22:43Leo ni Ijumaa tarehe 7 Mfunguo Tatu Dhul-Hijja 1445 Hijria mwafaka na tarehe 14 Juni 2024 Miladia.
-
Jumapili, 9 Juni, 2024
Jun 08, 2024 22:49Leo ni Jumapili tarehe Pili Mfunguo Tatu Dhul-Hijja 1445 Hijria sawa na tarehe 9 Juni mwaka 2024 Miladia.
-
Jumatano, tarehe 22 Mei, 2024
May 21, 2024 22:51Leo ni Jumatano tarehe 13 Mfunguo Pili Dhulqaada 1445 Hijria sawa na Mei 22 mwaka 2024.
-
Jumamosi, 18 Mei, 2024
May 18, 2024 00:32Leo ni Jumamosi 9 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1445 Hijria sawa na 18 Mei 2024 Miladia.
-
Rais wa Algeria: Dunia imepoteza ubinadamu katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu
May 06, 2024 07:14Rais wa Algeria amesema, ubinadamu umepoteza nyanja zote za kiutu na ustaarabu katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Ujumbe wa Algeria na azma yake ya kustawisha ushirikiano wa kiteknolojia na Iran
Apr 30, 2024 07:44Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara wa Algeria amepongeza maendeleo ya kiteknolojia ya Iran na kusisitiza azma ya nchi hiyo ya kuendeleza ushirikiano wa kiteknolojia na Iran.
-
Jumatatu, 22 Aprili, 2024
Apr 24, 2024 03:22Leo ni Jumatatu tarehe 13 Mfunguo Mosi Shawwal 1445 Hijria sawa na tarehe 22 Aprili 2024.
-
Rais wa Algeria atangaza uchaguzi wa rais wa mapema
Mar 22, 2024 03:08Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais Abdelmajid Tebboune wa Algeria imeeleza kuwa nchi hiyo itaitisha uchaguzi wa mapema wa rais mwezi Septemba mwaka huu, miezi mitatu kabla ya muda uliokuwa umepangwa hapo awali.
-
Kupanua uhusiano wa kitamaduni kati ya Iran na Algeria kwa msingi wa misikiti
Mar 03, 2024 08:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza utayarifu wake wa kupanua uhusiano wa kiutamaduni kati ya Iran na Algeria kwa kuzingatia misikiti kama msingi na katika mwelekeo wa kuongeza maarifa, sayansi na kujenga umoja na mafungamano katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
US kuipigia veto rasimu ya azimio la Algeria la kusitisha vita Gaza
Feb 18, 2024 07:35Maafisa wa Marekani wameapa kuwa nchi hiyo itatumia kura yake ya turufu kupinga rasimu ya azimio iliyowasilishwa na Algeria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, la kutaka kusitishwa mara moja mapigano katika Ukanda wa Gaza.