-
Wadukuzi wa Algeria washambulia mitandao ya Wizara ya Vita ya Israel
Oct 24, 2023 23:22Kundi moja la wadukuzi la Algeria limejipenyeza na kushambulia mitandao ya kuhifadhi taarifa za Wizara ya Vita ya utawala haramu wa Israel.
-
Rais wa Algeria aagiza kuanzishwa daraja la angani la misaada kwa ajili ya Gaza
Oct 22, 2023 22:53Rais wa Algeria ameagiza kuanzishwa daraja la angani kwa ajili ya kutuma misaada ya kibinadamu Ukanda wa Gaza kupitia kivuko cha Rafah.
-
Ombi la Algeria kwa Jamii ya Kimataifa kuliunga mkono taifa la Palestina dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni
Oct 09, 2023 03:13Kupitia taarifa, Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria imetaka uingiliaji kati wa haraka wa Jumii ya Kimataifa kupitia taasisi husika ili kuliunga mkono taifa la Palestina dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni.
-
Niger yakubali mpango wa Algeria wa kutatua mzozo wa ndani wa nchi hiyo
Oct 02, 2023 11:42Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria ilimengaza kuwa, Niger imekubaliana na mpango wa Algiers wa kutatua mgogoro wa ndani wa nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika.
-
Raisi: Ushirikiano wa Iran na Algeria ni kwa maslahi ya umma wa Kiislamu
Aug 23, 2023 03:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria azma ya taifa hili ya kuimarisha uhusiano wake na Algeria na kusisitiza kuwa, ushirikiano wa nchi mbili hizi ni kwa maslahi ya mataifa haya na ulimwengu wa Kiislamu kwa jumla.
-
Sisitizo la Algeria la kutokuwa tayari kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 19, 2023 00:21Naibu Spika wa Bunge la Algeria Moussa Kharfi ametamka bayana kuwa nchi yake haitoanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Algeria: Hatutaanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa kikoloni wa Israel
Aug 16, 2023 23:44Naibu Spika wa Bunge la Algeria amesisitiza kuwa, taifa hilo la kaskazini mwa Afrika halitafuata mkumbo wa nchi nyingine za Kiarabu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel, akisisitiza kuwa Waalgeria wanautazama utawala huo kuwa wa kikoloni.
-
Algeria: Uingiliaji wa kijeshi nchini Niger utatishia utulilvu wa eneo zima
Aug 16, 2023 02:58Mkuu wa Jeshi la Algeria ameonya kuhusu jaribio la kuivamia kijeshi Niger na kusema kuwa uvamizi wowote wa kijeshi wa madola ya kigeni nchini Niger utatishia utulivu na usalama wa eneo zima la Sahel ya Afrika.
-
Algeria: Hatuungi mkono uingiliaji wa kijeshi nchini Niger
Aug 06, 2023 03:45Algeria imepinga vikali mpango wa kuingia kijeshi nchini Niger, kwa lengo la kuhitimisha mapinduzi ya kijeshi ya mwishoni mwa mwezi uliopita, yaliyomuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum.
-
Moto uliochochewa na upepo umeua watu zaidi ya 34 Algeria
Jul 25, 2023 11:29Moto wa nyika usiodhibitiwa unaoendelea katika nchi za Algeria na Tunisia huko kaskazini mwa Afrika wakati huu wa wimbi la joto kali umesababisha vifo vya makumi vya watu na kuwalazimisha maelfu ya wengine kuyahama makazi yao.