-
Watoto 144 waaga dunia kwa utapiamlo nchini Angola
Oct 01, 2020 07:54Watoto 144 wamepoteza maisha kutokana na utapiamlo katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka huu katika mkoa wa Bié katikati mwa Angola.
-
Alkhamis, tarehe 14 Mei, 2020
May 14, 2020 17:08Leo ni Alkhamisi tarehe 20 Ramadhani 1441 Hijria, sawa na tarehe 14 Mei, 2020 Miladia.
-
Ureno yazuilia mali za binti wa rais wa zamani wa Angola
Apr 05, 2020 08:00Mahakama moja mjini Lisbon nchini Ureno imezuilia hisa za mfanyabiashara bilionea na binti wa rais wa zamani wa Angola, Jose Eduardo dos Santos, anaeandamwa na tuhuma za ufisadi.
-
Angola kutoa waranti ya kukamatwa binti 'fisadi' wa rais wa zamani
Jan 24, 2020 02:53Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Angola amesema ikilazimu, serikali ya nchi hiyo itatoa waranti ya kimataifa ya kukamatwa na kurejeshwa nchini humo mfanyabiashara bilionea na binti wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Jose Eduardo dos Santos.
-
Angola yaahidi kumrejesha Dos Santos baada ya Luanda kufichua nyaraka za tuhuma za ubadhirifu dhidi yake
Jan 21, 2020 12:38Waendesha Mashtaka nchini Angola wamesema kuwa watatumia njia zote zinazowezekana kufanikisha zoezi la kurejeshwa nchini mfanyabiashara na binti ya rais wa zamani wa nchi hiyo, Jose Eduardo dos Santos.
-
Jumatatu tarehe 11 Novemba mwaka 2019
Nov 11, 2019 02:45Leo ni Jumatatu tarehe 13 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1441 Hiria sawa na Novemba 11 mwaka 2019.
-
Jumanne, tarehe 14 Mei, 2019
May 14, 2019 04:13Leo ni Jumanne tarehe 8 Ramadhan 1440 Hijiria, mwafaka na tarehe 14 Mei 2019 Milaadia.
-
Jumapili, Novemba 11, 2018
Nov 11, 2018 12:35Leo ni Jumapili tarehe tatu Mfungo Sita, Rabiul-Awwal 1440 Hijiria, sawa na tarehe 11 Novemba 2018 Miladia.
-
Wakimbizi 10 wa Kongo DR wauawa katika ghasia nchini Angola
Oct 09, 2018 08:14Kwa akali raia 10 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameripotiwa kuuawa nchini Angola katika makabliano baina yao kwa upande mmoja na askari polisi na wananchi wa nchi hiyo jirani kwa upande wa pili.
-
Rais wa zamani wa Angola, Dos Santos, kustaafu siasa kikamilifu
Sep 08, 2018 01:23Rais wa zamani wa Angola, Jose Eduardo dos Santos anatarajia kustaafu kikamilifu katika uga wa siasa leo Jumamosi na kukabidhi uongozi wa chama tawala kwa mrithi wake Rais Joao Lourenço wa nchi hiyo.