-
Wanadiplomasia wawili wa Angola waachishwa kazi kwa kuhudhuria dhifa ya ufunguzi wa ubalozi wa US Quds
May 24, 2018 14:50Serikali ya Angola imewaachisha kazi wanadiplomasia wake wawili waandamizi kwa kuhudhuria dhifa ya kusherehekea ufunguzi wa ubalozi wa Marekani katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu iliyofanyika tarehe 13 Mei.
-
Jumatatu, Mei 14, 2018
May 14, 2018 03:03Leo ni Jumatatu tarehe 27 Shaaban 1439 Hijria mwafaka na tarehe 14 Mei 2018 Miladia.
-
Mtoto wa rais wa zamani wa Angola azuiwa kuondoka nchini kwa tuhuma za ufisadi
Mar 27, 2018 07:50Mtoto wa kiume wa rais wa zamani wa Angola, Jose Eduardo dos Santos amezuiwa kuondoka nchini kutokana na tuhuma za ufisadi zinazomuandama.
-
Jumamosi 11 Novemba, 2017
Nov 11, 2017 03:10Leo ni Jumamosi tarehe 22 Safar 1439 Hijria sawa na tarehe 11 Novemba 2017.
-
Angola yawatimua maelfu ya wahamiaji haramu wa Kongo DR
Nov 06, 2017 02:46Serikali ya Angola imewafukuza nchini humo maelfu ya wahamiaji haramu raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Vyama vya upinzani Angola vyaenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi
Sep 09, 2017 07:57Vyama vitatu vya upinzani nchini Angola vimewasilisha malalamiko mahakamani dhidi ya matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo hivi karibuni, ambapo chama tawala cha MPLA kilitangazwa kuibuka mshindi.
-
Upinzani Angola waitaka tume ya uchaguzi kufafanua matokeo yake
Aug 27, 2017 07:39Kinara wa chama kikuu cha upinzani nchini Angola ameitaka tume ya uchaguzi nchini humo kutoa ufafanuzi na maelezo ya kina kuhusu namna ilivyokipa ushindi wa kishindo chama tawala nchini humo.
-
Wananchi wa Angola washiriki katika uchaguzi wa Bunge huku Rais Dos Santos akistaafu
Aug 23, 2017 13:51Wananchi wa Angola waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wameelekea katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuchagua wawakilishi wa Bunge ambao ndio watakaomchagua Rais mpya wa nchi hiyo katika Uchaguzi wa kihistoria, unaomaliza uongozi wa Rais Jose Eduardo Dos Santos aliyeongoza nchi hiyo kwa miaka 38.
-
EU haitatuma timu ya waangalizi wa uchaguzi nchini Angola
Jul 29, 2017 02:22Umoja wa Ulaya umefuta mpango wa kutuma timu ya waangalizi wake katika uchaguzi wa Angola unaofanyika mwezi ujao, baada ya serikali ya Luanda kutokubali baadhi ya masharti yake.
-
UN inahitaji dola milioni 65 kwa ajili ya wakimbizi wa DRC
Jun 14, 2017 04:19Umoja wa Mataifa umesema unahitaji makumi ya mamilioni ya dola kwa ajili ya wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo waliokimbilia nchi jirani ya Angola.