-
Jumapili 14 Mei
May 14, 2017 02:34Leo ni Jumapili tarehe 17 Sha'aban 1438 Hijria, sawa na tarehe 14 Mei 2017.
-
UN yatuma misaada kwa raia wa Kongo DR nchini Angola
Apr 30, 2017 16:03Umoja wa Mataifa umelazimika kutumia usafiri wa ndege kutuma misaada yake ya kibinadamu kwa makumi ya maelfu ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo walioko nchini Angola.
-
Rais wa Angola aafiki uchaguzi mkuu ufanyike Agosti 23
Apr 27, 2017 04:33Rais Jose Eduardo dos Santos wa Angola amesaini dikrii inayoruhusu tarehe 23 Agosti mwaka huu kuwa siku ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini humo.
-
Zaidi ya raia elfu 9 wa Kongo DR wakimbilia Angola kutafuta hifadhi
Apr 18, 2017 15:37Maelfu ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekimbilia nchi jirani ya Angola kwenda kuomba hifadhi kutokana na kushtadi machafuko nchini mwao.
-
Machafuko yashtadi Kongo DR, Angola yafunga mpaka wake na nchi hiyo
Mar 31, 2017 14:55Serikali ya Angola imeamua kufunga mpaka wa nchi hiyo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na kushtadi machafuko katika mkoa wa Kasai, kusini mwa DRC.
-
Angola yailaumu Ureno, yasema hukumu dhidi ya Makamu wa Rais ni hujuma
Feb 25, 2017 07:55Serikali ya Angola imetangaza kuwa, uamuzi wa serikali ya Ureno wa kumtuhumu Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Manuel Domingos Vicente kuwa ametoa rushwa na kutakatisha fedha chafu ni "hujuma nzito" na kwamba inatishia uhusiano kati ya nchi mbili.
-
Watu 17 wafariki dunia katika msongamano kwenye uwanja wa mpira nchini Angola
Feb 11, 2017 07:23Watu 17 wamefariki dunia na makumi ya wengine kujeruhiwa nchini Angola baada ya kutokea msongamano mkubwa katika uwanja mmoja wa mpira kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Rais Dos Santos wa Angola hatagombea tena urais
Feb 03, 2017 14:19Rais Jose Eduardo do Santos wa Angola amethibitisha leo kuwa hatagombea tena urais katika uchaguzi wa mwaka huu na hivyo atahitimisha utawala wake wa miaka 38 katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
Angola yaripoti kesi mbili za kwanza za ugonjwa wa Zika
Jan 12, 2017 07:25Angola jana ilitangaza kuwa imesajili kesi mbili za awali za kirusi cha Zika, ikiwa imepita miezi mitatu baada ya kudhibitiwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjano ambao umeuwa nchini humo watu wasiopungua 400.
-
Rais Dos Santos wa Angola kuachia ngazi mwaka 2017
Dec 03, 2016 14:20Imedokezwa kuwa Rais Jose Eduardo dos Santos wa Angola, ambaye amekuwa madarakani tokea mwaka 1979, hatasimama tena katika uchaguzi wa rais utakaofanyika nchini humo mwakani.