-
Homa ya manjano yaua watu 158 nchini Angola
Mar 18, 2016 16:39Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza leo kuwa idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na homa ya manjano nchini Angola imefikia 158.
-
Watu 24 waaga dunia katika mafuriko nchini Angola
Mar 03, 2016 14:08Kwa akali watu 24 wamepoteza maisha huku makumi ya wengine wakitoweka kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha nchini Angola.
-
Idadi ya wahanga wa homa ya manjano yapindukia 120 Angola
Feb 27, 2016 16:50Idadi ya wahanga wa homa ya manjano (Yellow Fever) nchini Angola imeongezeka na kupindukia 120.
-
Zaidi ya watu 50 wafariki dunia kwa homa ya manjano nchini Angola
Feb 15, 2016 15:25Mkuu wa idara ya taifa ya afya nchini Angola amesema kuwa, watu 51 wamefariki dunia katika kipindi cha chini ya miezi mwili katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika kutokana na homa ya manjano.