Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ansarullah

  • Harakati ya Ansarullah ya Yemen yasisitiza kuheshimu makubaliano ya Stockholm Sweden

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen yasisitiza kuheshimu makubaliano ya Stockholm Sweden

    Jan 11, 2019 04:37

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen ameashiria kuheshimu na kufungamana Harakati ya Ansarullah na makubaliano ya ya Stockholm Sweden na kusema kuwa, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia unapaswa kuheshimu na kutekeleza makubaliano hayo.

  • Ansarullah: Hakuna hatua iliyochukuliwa kwa ajili ya kusitisha mapigano al Hudaydah

    Ansarullah: Hakuna hatua iliyochukuliwa kwa ajili ya kusitisha mapigano al Hudaydah

    Jan 09, 2019 03:33

    Afisa Uhusiano wa Nje wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, hakuna hatua yoyote ya kivitendo iliyochukuliwa kwa ajili ya kutekeleza mapatano ya kusitisha mapigano katika mji wa bandari wa al Hudaydah magharibi mwa Yemen na kubadlishana mateka kwa mujibu wa makubaliano yaliyofikiwa mjini Stockholm, Sweden.

  • Ansarullah ya Yemen: Tunaheshimu mazungumzo ya Stockholm

    Ansarullah ya Yemen: Tunaheshimu mazungumzo ya Stockholm

    Jan 07, 2019 00:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa harakati ya Ansarullah ya nchini humo inaheshimu na kutekeleza makubaliano ya kusitisha uhasama na mapigano yaliyofikiwa huko Stockholm nchini Sweden.

  • Al Houthi aituhumu WFP kwa kununua chakula kibovu kwa ajili ya watu wa Yemen

    Al Houthi aituhumu WFP kwa kununua chakula kibovu kwa ajili ya watu wa Yemen

    Jan 01, 2019 11:40

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amelituhumu Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kuwa limenunua bidhaa za chakula kilichoharibika kwa ajili ya wananchi wa Yemen.

  • Kukiuka Saudi Arabia makubaliano ya Sweden

    Kukiuka Saudi Arabia makubaliano ya Sweden

    Dec 18, 2018 07:57

    Baada ya kupita siku tano tangu kufikiwa makubaliano baina ya makundi ya Yemen, Saudi Arabia imeendelea kukiuka makubaliano hayo.

  • Al Houthi: Tarehe ya kusimamishwa vita al Hudaydah Yemen imeshajulikana

    Al Houthi: Tarehe ya kusimamishwa vita al Hudaydah Yemen imeshajulikana

    Dec 16, 2018 04:04

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema kuwa, mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen ameukabidhi ujumbe wa San'a unaoshiriki kwenye mazungumzo ya amani ya nchi hiyo huko Sweden, tarehe ya kusimamisha vita katika mkoa wa al Hudaydah.

  • Mwakilishi wa Ansarullah: Mazungumzo ya amani Yemen yaidhinishwe na Baraza la Usalama

    Mwakilishi wa Ansarullah: Mazungumzo ya amani Yemen yaidhinishwe na Baraza la Usalama

    Dec 07, 2018 04:28

    Mkuu wa ujumbe wa harakati ya Ansarullah ya Yemen kwenye mazungumzo ya amani yaliyoanza Sweden amesema kuwa matokeo ya mazungumzo hayo yanapasa kupasishwa kama azimio la Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa na kuwa sheria inayopaswa kutekelezwa.

  • Msemaji wa Ansarullah: Tutaigeuza Yemen kuwa 'makaburi' ya wavamizi

    Msemaji wa Ansarullah: Tutaigeuza Yemen kuwa 'makaburi' ya wavamizi

    Nov 11, 2018 04:25

    Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, wananchi wa nchi hiyo wamesimama kidete na kwa mara nyingine tena wamethibitisha kwamba, Yemen ni 'makaburi' ya wavamizi.

  • 'Njama dhidi ya Yemen zinatekelezwa na Marekani, Saudi Arabia na UAE'

    'Njama dhidi ya Yemen zinatekelezwa na Marekani, Saudi Arabia na UAE'

    Nov 07, 2018 13:09

    Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema hujuma ya kijeshi dhidi ya nchi yake imeshika kasi zaidi baada ya utawala wa Rais Donlad Trump wa Marekani kutaka mazungumzo yafanyike kumaliza vita.

  • Ansarullah yakataa usuluhishi wa Marekani katika jitihada za kutatua mgogoro wa Yemen

    Ansarullah yakataa usuluhishi wa Marekani katika jitihada za kutatua mgogoro wa Yemen

    Oct 31, 2018 12:02

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen imepinga pendekezo la Marekani la kufanya juhudi za upatanishi ili kutatua mgogoro wa Yemen na kusema kuwa Washington ni muhusika mkuu katika uvamizi huo wa kijeshi dhidi ya Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS