-
Kamisheni ya pamoja ya JCPOA yachunguza ukiukaji ahadi wa Marekani
Jan 11, 2017 03:39Kikao cha kamisheni ya pamoja ya Iran na kundi la 5+1 katika kiwango cha Manaibu Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni kilichoitishwa kwa takwa la Dakta Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu kwa ajili ya kujadili ukiukaji wa makubaliano hayo uliofanywa na Marekani kimemalizika huko Vienna Austria kwa kutolewa taarifa.
-
Iran yataka ifidiwe baada ya Marekani kukiuka mapatano ya nyuklia
Jan 11, 2017 00:38Afisa wa ngazi za juu nchini Iran amesema hatua ya Bunge la Kongresi la Marekani kuongeza kwa muda wa miaka mingine kumi Sheria ya Vikwazo Dhidi ya Iran (ISA) ni ukiukaji wa mapatano ya nyuklia ya mwaka 2015 na kwa msingi huo Tehran inapasa ifidiwe kutokana na ukiukaji huo.
-
Iran inatoa viza ya siku 30 uwanja wa ndege kwa nchi 180
Feb 14, 2016 03:36Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vituo vya uwakilishi wa Wizara ya Mambo ya Nje katika mikoa na viwanja vya ndege vinatoa viza ya siku 30 kwa raia wa nchi 180 duniani.