-
Kiongozi Muadhamu atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Ayatullah Hashemi Rafsanjani
Jan 09, 2017 04:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kufariki dunia Ayatullah Hashemi Rafsanjani.
-
Ayatullah Hashemi Rafsanjani ameaga dunia
Jan 08, 2017 17:08Ayatullah Ali Akbar Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuanisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu Iran ameaga dunia leo baada ya umri mrefu wa jihadi na jitihada zisizo na kikomo kwa ajili ya Uislamu na Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Ugaidi unaenea kutokana na hitilafu za kimadhehebu, kikaumu katika nchi za Kiislamu
May 03, 2016 03:58Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema, ugaidi unaenea Mashariki ya Kati kutokana na hitilafu za kikaumu na kimadhehebu katika nchi za Kiislamu.
-
Rafsanjani: Iran itatoa jibu kali kwa shambulizi lolote dhidi yake
Apr 05, 2016 07:30Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran ameonya kuwa shambulizi lolote la kigaidi dhidi ya taifa hili litapokea jibu kali.
-
Ayatullah Rafsanjani atoa wito wa kutumiwa vizuri visiwa vya Iran katika Ghuba ya Uajemi
Mar 21, 2016 08:23Ayatullah Akbar Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran ametoa wito wa kutumiwa vyema uwezo wa visiwa vya Iran katika Ghuba ya Uajemi kwa ajili ya kuboresha uchumi wa taifa hili.
-
Nchi zilizostawi zashindana kuja kuwekeza nchini Iran
Mar 17, 2016 01:50Ayatullah Akbar Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, nchi zilizoendelea zinashindana kwa ajili ya uwekezaji hapa nchini.
-
Ayatullah Rafsanjani: Umoja baina ya Shia na Suni ni jambo lenye ulazima
Mar 13, 2016 03:31Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja baina ya Shina na Suni una umuhimu mkubwa mno hususan katika hali na mazingira tete na hasasi yanayoshuhudiwa hivi sasa katika eneo la Mashariki ya Kati na ulimwenguni.