Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

balozi

  • Bahram Qassemi: Silaha za nyuklia hazimo kabisa katika ajenda ya ulinzi ya Iran

    Bahram Qassemi: Silaha za nyuklia hazimo kabisa katika ajenda ya ulinzi ya Iran

    May 28, 2019 08:04

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Paris Ufaransa amesema kuwa, silaha za nyuklia kamwe hazijawahi kuwemo kenye ajenda ya kiulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Uingiliaji wa Marekani ni chanzo za vurugu na ukosefu wa usalama katika eneo

    Uingiliaji wa Marekani ni chanzo za vurugu na ukosefu wa usalama katika eneo

    May 14, 2019 04:18

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, amesisitiza kuhusu ulazima wa kusimama kidete kukabiliana na utumiaji mabavu na sera za maamuzi ya upande mmoja za Marekani duniani.

  • Sisitizo jipya la Ufaransa la kuheshimu mapatano ya JCPOA

    Sisitizo jipya la Ufaransa la kuheshimu mapatano ya JCPOA

    Apr 17, 2019 02:26

    Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ulitiwa saini kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kundi la 5+1 mnamo tarehe 14 Julai 2015, na kuanza kutekelezwa rasmi tarehe 16 Januari 2016.

  • Wananchi wa Jordan wataka kutimuliwa balozi wa Israel katika nchi yao

    Wananchi wa Jordan wataka kutimuliwa balozi wa Israel katika nchi yao

    Mar 14, 2019 08:05

    Wanaharakati wa Jordan na Palestina wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Amman na kutaka kufukuzwa mjini humo balozi wa utawala haramu wa Israel.

  • Khumalo: Afrika Kusini inafuatilia kupanuliwa mabadilishano ya kibiashara kati yake na Iran

    Khumalo: Afrika Kusini inafuatilia kupanuliwa mabadilishano ya kibiashara kati yake na Iran

    Feb 22, 2019 08:03

    Balozi wa Afrika Kusini hapa mjini Tehran amesema kuwa, kuna uwezo mkubwa mno katika sekta mbalimbali nchini Iran hususan katika uga wa madini, utalii na teknolojia ya mawasiliano na kwamba, nchi yake inaweza kuyatumia hayo kwa ajili ya kupanua zaidi ushirikiano kati yake na Iran.

  • Ugomvi washadidi Umoja wa Ulaya, Ufaransa yamwita nyumbani balozi wake wa Italia

    Ugomvi washadidi Umoja wa Ulaya, Ufaransa yamwita nyumbani balozi wake wa Italia

    Feb 07, 2019 22:36

    Mzozo na mgogoro umeongezeka baina ya Ufaransa na Italia kiasi kwamba Paris imeamua kumwita nyumbani balozi wake wa mjini Rome.

  • WikiLeaks: Balozi za Marekani duniani zimerundika vifaa vya ujasusi

    WikiLeaks: Balozi za Marekani duniani zimerundika vifaa vya ujasusi

    Dec 23, 2018 08:11

    Mtandao wa WikiLeaks umefichua kuwa, balozi za Marekani na vituo vingine vyake vya kidiplomasia kote duniani vimenunua kiwango kikubwa cha vifaa na suhula za kijasusi; katika hali ambayo baadhi ya nchi zimekuwa zikieleza hofu yao kwamba balozi hizo za Marekani badala ya kujihusisha na masuala ya udiplomasia pamoja na uhusiano mwema, zinahusika zaidi na masuala ya ujasusi, mapinduzi ya serikali halali na njama zinginezo haribifu kote duniani.

  • Ulaya yakerwa na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na kusisitiza kulindwa mapatano ya JCPOA

    Ulaya yakerwa na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na kusisitiza kulindwa mapatano ya JCPOA

    Oct 31, 2018 02:20

    Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akijaribu kuvuruga mapatano ya kimataifa yaliyofikiwa kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kundi la 5+1 kwa kisingizio kuwa ni mapatano mabaya zaidi ya kimataifa kuwahi kufikiwa na Marekani.

  • Rais Rouhani: Uwezo wa kiuchumi wa Iran na Afrika Kusini unaweza kunufaisha kila upande

    Rais Rouhani: Uwezo wa kiuchumi wa Iran na Afrika Kusini unaweza kunufaisha kila upande

    Oct 17, 2018 04:18

    Rais Hassan Rouhani amesema Iran na Afrika Kusini zina uwezo na fursa nzuri sana ambazo zinaweza kutoa mchango kamilishi kwa uchumi wa nchi mbili.

  • Afrika Kusini yakanusha taarifa za kurejea tena balozi wake mjini Tel Aviv

    Afrika Kusini yakanusha taarifa za kurejea tena balozi wake mjini Tel Aviv

    Sep 27, 2018 03:00

    Serikali ya Afrika Kusini imekanusha taarifa zilizoenea kwamba, imemrejesha huko Tel Aviv balozi wake ambaye ilimwita nyumbani mwezi Mei mwaka huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS