-
Russia: Kuna uwekezano Marekani ikaishambulia kijeshi Venezuela
Jul 19, 2018 07:52Balozi wa Russia nchini Venezuela ameonyesha masikitiko yake kutokana na uwezekano wa Marekani kuchukua hatua ya kijeshi dhidi ya nchi hiyo.
-
Sudan yamwita balozi wa EU kulalamikia matamshi ya kutiwa mbaroni al Bashir
Jul 12, 2018 15:00Kufuatia taarifa iliyotolewa na Umoja wa Ulaya juu ya udharura wa kutiwa mbaroni Rais Omar Hassan Ahmad al-Bashir wa Sudan, Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo imemwita balozi wa umoja huo mjini Khartoum na kumfikishia malalamiko yake.
-
Balozi wa Qatar Palestina: Hamas sasa ina nguvu kubwa kuliko ilivyokuwa huko nyuma
Jul 11, 2018 04:08Balozi wa Qatar huko Palestina amesema kuwa utawala wa Kizayuni unapasa kukubali matakwa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kuhusu eneo la Ukanda wa Ghaza kwa sababu harakati hiyo sasa iko imara zaidi kuliko ilivyokuwa huko nyuma.
-
Mabunge ya Iran na Kodivaa kuimarisha uhusiano baina yao
Jun 09, 2018 17:10Balozi wa Iran nchini Ivory Coast ameonana na Spika wa Bunge la Senate la nchi hiyo na kujadiliana naye njia za kuimarishwa uhusiano baina ya mabunge ya nchi hizi mbili.
-
Serikali ya Cameroon yailalamikia Marekani kwa kuingilia masuala yake ya ndani
May 24, 2018 04:09Wizara ya mambo ya nje ya Cameroon imemwita balozi wa Marekani nchini humo na kumlalamikia kwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo.
-
Imarati yamtimua balozi wake wa Ethiopia kwa kushindwa kuandaa safari ya mkuu wake
Apr 20, 2018 14:08Serikali ya Imarati imemrejesha nyumba na kumpiga kalamu nyekundu balozi wake nchini Ethiopia.
-
Salah Zawawi asifu utendaji na mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu Palestina
Dec 31, 2017 14:50Balozi wa Palestina hapa mjini Tehran amesifu utendaji na mtazamo wa Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusiana na Palestina na makundi ya harakati ya Palestina.
-
Iran itashiriki vilivyo katika kuijenga upya Syria
Oct 30, 2017 04:00Waziri wa Viwanda, Madini na Biashara wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itashiriki vilivyo katika utekelezaji wa mipango itakayoainishwa na serikali ya Syria katika kujenga upya sekta mbali za uzalishaji, utoaji huduma na ustawi zilizoharibiwa vibaya na magenge ya kigaidi yaliyoivamia nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Rais Rouhani: Azma ya Iran ni kustawisha uhusiano na Bara la Afrika
Oct 15, 2017 04:41Rais Hassan Rouhani amesema kustawisha na kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika hasa Nigeria ikiwa ni nchi rafiki na ya Kiislamu ni miongoni mwa misingi ya sera za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na akasisitiza kwamba mashirika makubwa ya Kiirani yako tayari kutekeleza miradi ya maendeleo nchini Nigeria.
-
Senegal yapuuza ushawishi wa Saudia, sasa kumrejesha balozi wake nchini Qatar
Aug 22, 2017 08:13Serikali ya Senegal imetangaza kuwa, itamrejesha balozi wake ambaye awali ilimwita nyumbani baada ya kuanza mgogoro kati ya nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya Uajemi na Qatar.