-
Balozi wa Palestina Tehran: Mapambano ya kuuangamiza utawala wa Kizayuni wa Israel yanaendelea
Jul 26, 2017 13:44Balozi wa Palestina mjini Tehran amesema kuwa, mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel yataendelea hadi pale utawala huo haramu utakapoangamizwa na kufutwa katika ramani ya dunia.
-
Syria: Sababu ya kutokea mashambulio ya kigaidi mjini Tehran hii hapa
Jun 14, 2017 15:36Balozi wa Syria nchini Iraq amesema kuwa, sababu kuu ya kutokea mashambulizi ya kigaidi mjini Tehran, ni kutokana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa nchi pekee iliyosimama kikweli na wananchi na serikali za Iraq na Syria kupambana na magenge ya kigaidi yaliyozivamia nchini hizo.
-
Kenya na Iran kuimarisha mahusiano ya pande zote
Jun 02, 2017 04:23Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Kenya, Hadi Farajvand amesema kuwa, mahusiano ya Kenya na Iran hususan katika uga wa uchumi, yamestawi sana katika miaka ya hivi karibuni.
-
Nchi za Kiislamu zatakiwa kuwaunga mkono wafungwa wa Palestina
Apr 27, 2017 02:46Balozi wa Palestina mjini Tehran amesema Palestina itaweza kusaidika iwapo kutakuwa na umoja katika ulimwengu wa Kiislamu huku akitoa wito kwa nchi za Kiislamu kuwaunga mkono wafungwa wa Palestina.
-
Iran yakaribishwa kuwekeza katika usindikaji bidhaa Tanzania
Mar 18, 2017 15:50Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeikaribisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwekeza katika sekta ya viwanda nchini humo, hususan katika viwanda vya kusindika bidhaa.
-
Balozi wa Palestina Tehran: Tunaishukuru sana Iran kwa kuiunga mkono Paletina
Feb 23, 2017 13:37Balozi wa Palestina mjini Tehran sambamba na kuashiria umuhimu wa mkutano wa 6 wa kimataifa kwa ajili ya kuunga mkono Intifadha ya Palestina uliofanyika hapa mjini Tehran Jumanne na jana Jumatano, ambao uliionyesha dunia dhulma na ukatili wanaofanyiwa Wapalestina, amesema kuwa mkutano huo ulikuwa muhimu sana katika kufichua njama chafu za Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Palestina.
-
Nabih Berri: Nchi za Kiislamu zifunge balozi zao zilizoko Marekani
Feb 21, 2017 13:58Spika wa Bunge la Lebanon ameziasa nchi za Kiislamu zifunge balozi zao zilizoko Marekani kulalamikia mpango wa Washington wa kutaka kuhamishia ubaloizi wake ulioko Israel huko Quds Tukufu.
-
Iran yamwita balozi wa Uswisi kulalamikia Marekani kuwapiga marufuku Waislamu
Jan 29, 2017 14:02Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita Balozi wa Usiwis mjini Tehran na kumkabidhi malalamiko rasmi kufuatia hatua ya rais wa Marekani kupitisha sheria za kibaguzi za kuwazuia raia wa Iran na nchi zingine sita za Kiislamu kuingia nchini humo.
-
Balozi Mzayuni asababisha kufutwa mkutano Afrika Kusini
Feb 18, 2016 02:10Mkutano uliokuwa ufanyike mjini Johannesburg, kwa ajili ya kuzungumzia mgogoro wa maji nchini Afrika Kusini umefutwa kutokana na kulalamikiwa vikali kualikwa balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye mkutano huo.
-
Balozi wa Iran UN akosoa siasa za upande mmoja za madola makubwa
Feb 16, 2016 03:39Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema madola makubwa yanakiuka haki za nchi zinazoendelea kutokana na mtazamo wao wa kujifanyia mambo watakavyo na wa upande mmoja.