-
Kuchomwa moto kambi ya wakimbizi ya Waislamu wa Rohingya
Jan 12, 2022 02:31Polisi ya Bangladesh imetangaza kuwa, moto umetokea katika kambi ya wakimbizi ya Waislamu wa Kirohingya wa Myanmar katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Waislamu Bangladesh waandamana kulaani kuvunjiwa heshima Qurani Hekaluni
Oct 14, 2021 14:42Kwa akali watu watatu wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu nchini Bangladesh.
-
Mauaji ya kigaidi dhidi ya kiongozi mmoja wa Waislamu wa Rohingya
Oct 02, 2021 02:33Mohibullah ambaye alikuwa miongoni mwa viongozi wa jamii ya Waislamu wa Rohingya waliokimbilia Bangladesh kutoka Myanmar ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
-
Mamia ya wanaharakati wa Kiislamu wakamatwa Bangladesh kwa kupinga safari ya Modi
Apr 19, 2021 13:30Polisi ya Bangladesh imewatia nguvuni mamia ya wanaharakati wa Kiislamu baada ya mandamano yaliyoandamana na umwagaji damu ya kupinga safari ya Waziri Mkuu wa India nchini humo mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu.
-
Ijumaa tarehe 26 Machi 2021
Mar 26, 2021 02:54Leo ni Ijumaa tarehe 12 Shaabani 1442 Hijria sawa na 26 Machi 2021.
-
Bangladesh yachunguza mkasa wa moto ulioua Waislamu 15 wa Rohingya
Mar 24, 2021 02:48Serikali ya Dhaka imeanzisha uchunguzi kubaini kiini cha moto mkubwa uliotokea katika kambi ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya katika wilaya ya Cox's Bazar nchini Bangladesh na kuua na kujeruhi mamia ya watu.
-
Bangladesh yawahamishia wakimbizi Waislamu Warohingya kwenye kisiwa kisichokalika
Dec 04, 2020 07:11Serikali ya Bangladesh imeanza kuwahamisha wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya kutoka Myanmar na kuwapeleka kwenye kisiwa kisichokalika cha Bhashan Char.
-
Wabangladesh zaidi ya 50,000 waandamana dhidi ya Macron, wataka uhusiano na Ufaransa uvunjwe
Nov 02, 2020 13:48Watu wasiopungua elfu hamsini wameandamana leo nchini Bangladesh katika maandamano makubwa zaidi kufanyika nchini humo kulaani msimamo wa rais Emmanuel Macron wa Ufaransa wa kuunga mkono kuchapishwa tena vikatuni vinavyomvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW. Mbali na kulaani msimamo huo wa Macron, waandamanaji hao wameitaka serikali yao ivunje uhusiano wake wa kidiplomasia na Ufaransa.
-
Maelfu waandamana Bangladesh wakitaka kususiwa bidhaa za Ufaransa
Oct 28, 2020 04:31Makumi ya maelfu ya Waislamu wa Bangladesh wamefanya maandamano katika mji mkuu Dhaka, kulaani hatua ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kuunga mkono kitendo cha kifidhuli cha jarida la Kifaransa la Charlie Hebdo cha kuchapisha tena vibonzo vya kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW.
-
Mripuko wa bomba la gesi waua waumini 13 msikitini Bangladesh
Sep 05, 2020 11:22Watu wasiopungua 13 wamepoteza maisha katika ajali ya mripuko wa bomba la gesi nchini Bangladesh.