-
Kimbunga kikali chaua makumi ya watu India na Bangladesh
May 21, 2020 07:46Kwa akali watu 20 wameaga dunia na mamia ya maelfu ya wengine wameachwa bila ya makazi baada ya kimbunga kikali cha Amphan kupiga maeneo ya pwani ya India na Bangladesh.
-
Waislamu Warohingya waliotangatanga baharini kwa miezi kadhaa wapelekwa kisiwa kisichokalika cha Bangladesh
May 04, 2020 14:17Waislamu Warohingya kadhaa waliokuwa wakitanga tanga baharini kwa miezi kadhaa hatimaye wamepelekwa kwenye kisiwa kimoja cha mbali katika Ghuba ya Bengal.
-
Makumi ya Waislamu wa Rohingya wafa kwa njaa ndani ya boti
Apr 17, 2020 04:25Makumi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wamepoteza maisha kutokana na njaa baada ya boti yao kukwama baharini kwa majuma kadhaa.
-
Alkhamisi, tarehe 26 Machi, 2020
Mar 26, 2020 04:16Leo ni Alkhamisi tarehe Mosi Shaaban mwaka 1441 Hijria sawa na tarehe 26 Machi mwaka 2020.
-
Warohingya 16 wapoteza maisha katika ajali ya boti Bangladesh
Feb 11, 2020 12:02Kwa akali Waislamu 16 wa jamii ya Rohingya wamefariki dunia baada ya boti yao kuzama katika Pwani ya Bengal, kaskazini mwa Bangladesh.
-
HRW: Bangladesh inawanyima elimu watoto laki 4 wa Kirohingya
Dec 04, 2019 07:08Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema serikali ya Bangladesh imewanyima haki ya kupata elimu watoto laki nne Waislamu Warohingya wanaoishi kama wakimbizi nchini humo.
-
Bangladesh yashikilia hukumu ya kifo dhidi ya Azharul Islam
Nov 01, 2019 01:14Mahakama ya Juu ya Bangladesh imeidhinisha hukumu ya kifo iliyotolewa mwaka 2014 dhidi ya kinara wa chama cha Kiislamu cha Jamaat-e-Islami, A T M Azharul Islam, kwa tuhuma za kutenda jinai za kivita.
-
Askari wa Bangladesh wambaka binti wa miaka 12 wa Rohingya
Oct 04, 2019 01:41Jeshi la Bangladesh limesema kuwa linachunguza malalamiko ya familia moja ya Waislamu wa Rohingya inayoishi katika kambi ya wakimbizi nchini humo inayosema kuwa askari wa Bangladesh wamembaka binti yao wa miaka 12.
-
Bagladesh: Myamar haitaki kuwarejesha nchini wakimbizi wa Rohingya
Jun 11, 2019 07:49Waziri Mkuu wa Bangladesh ameikosoa vikali serikali ya Myanmar kwa kutoonesha nia wala mpango wa kuwa tayari kuwapokea wakimbizi Waislamu wa Rohingya waliokimbilia nchini humo miaka miwili iliyopita.
-
Bangladesh yalaani uongo wa Myanmar, yakataa kuwapokea tena Waislamu wa Rohingya
Mar 01, 2019 15:26Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Bangladesh amelieleza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba nchi yake haitopokea mkimbizi mwingine yeyote wa jamii ya Rohingya kutoka Myanmar.