Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bangladesh

  • UN: Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hatari kubwa wakirejeshwa Myanmar

    UN: Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hatari kubwa wakirejeshwa Myanmar

    Nov 14, 2018 02:39

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameitaka serikali ya Bangladesh kusimamisha mpango wake wa kuwarejesha kwa nguvu nchini Myanmar maelfu ya wakimbizi Waislamu wa Rohingya akisisitiza kuwa maisha yao yatakuwa hatarini.

  • Bangladesh na mpango wa kuwahamishia wakimbizi Waislamu Warohingya laki moja katika kisiwa kilichotelekezwa

    Bangladesh na mpango wa kuwahamishia wakimbizi Waislamu Warohingya laki moja katika kisiwa kilichotelekezwa

    Oct 28, 2018 02:29

    Serikali ya Bangladesh imetangaza kuwa karibuni hivi itawahamishia katika kisiwa kilichotelekezwa, Waislamu wa jamii ya Rohingya wapatao laki moja.

  • Bangladesh: Myanmar imetutaka tuache kuwasaidia wakimbizi wa Rohingya

    Bangladesh: Myanmar imetutaka tuache kuwasaidia wakimbizi wa Rohingya

    Aug 13, 2018 07:38

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Bangladesh imesema kuwa, Myanmar imeitaka serikali ya nchi hiyo kusimamisha misaada ya kibinaadamu kwa malaki ya wakimbizi wa Rohingya walioko katika maeneo ya mpaka wa nchi mbili.

  • HRW yapinga suala la kuhamishiwa wakimbizi wa Rohingya na kupelekwa maeneo ya mbali

    HRW yapinga suala la kuhamishiwa wakimbizi wa Rohingya na kupelekwa maeneo ya mbali

    Aug 07, 2018 02:19

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limepinga mpango wa serikali ya Bangladesh wa kutaka kuwahamishia Waislamu wakimbizi wa Rohingya katika maeneo ya mbali.

  • Msalaba Mwekundu: Myanmar sio salama kurejea wakimbizi wa Rohingya

    Msalaba Mwekundu: Myanmar sio salama kurejea wakimbizi wa Rohingya

    Jul 02, 2018 07:40

    Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu imesema sio salama kwa maelfu ya wakimbizi wa Rohingya wanaoshi kambini katika nchi jirani ya Bangladesh kurejea makwao katika mkoa wa Rakhine nchini Myanmar.

  • Matarajio ya Bangladesh kwa China kuhusu wakimbizi Waislamu wa Myanmar

    Matarajio ya Bangladesh kwa China kuhusu wakimbizi Waislamu wa Myanmar

    Jul 01, 2018 07:46

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa China ameeleza utayari wa serikali ya Myanmar kwa ajili ya kurejea nchini humo mamia ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya kutoka Bangladesh.

  • Msafara wa walinda amani wa UN wavamiwa Sudan Kusini, askari auawa

    Msafara wa walinda amani wa UN wavamiwa Sudan Kusini, askari auawa

    Jun 26, 2018 15:09

    Askari wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini ameuawa mapema leo Jumanne baada ya msafara wa magari ya mashirika ya kutoa misaada ya kibinadamu kuviziwa na kushambuliwa na genge la wabeba silaha magharibi mwa nchi hiyo.

  • UN: Watu 4,000 wamekimbia mapigano mapya Myanmar

    UN: Watu 4,000 wamekimbia mapigano mapya Myanmar

    Apr 28, 2018 07:43

    Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya elfu nne wamekimbia mapigano mapya kati ya wanajeshi wa Myanmar na genge moja la kikabila katika muda wa wiki chache zilizopita, kaskazini mwa nchi.

  • Madai ya Myanmar kuhusu suala la kurejea wakimbizi Waislamu Warohingya kutoka Bangladesh

    Madai ya Myanmar kuhusu suala la kurejea wakimbizi Waislamu Warohingya kutoka Bangladesh

    Apr 14, 2018 07:27

    Waziri wa Ustawi wa Jamii wa Myanmar amedai kuwa, kurejea nchini humo wakimbizi Waislamu Warohingya kutoka Bangladesh ni katika mambo yanayopewa kipaumbele na serikali ya nchi hiyo.

  • Jumatatu 26 Machi 2018

    Jumatatu 26 Machi 2018

    Mar 26, 2018 12:35

    Leo ni Jumatatu tarehe 8 Rajab 1439 Hijria sawa na 26 Machi 2018.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS