-
Ansarullah: Baraza la Usalama la UN limepoteza hadhi; maazimio yake hayana thamani
Aug 08, 2026 12:50Kiongozi mwandamizi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen amepuzilia mbali hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ya kulaani mashambulizi ya makombora ya kulipiza kisasi dhidi ya Saudi Arabia na meli za kibiashara za utawala huo wa kifalme akisema kuwa chombo hicho cha kimataifa kimepoteza uhalali na hadhi yake, na maazimio yake hayana thamani yoyote.
-
Baraza la Usalama lalaani hatua ya US kumteka nyara Maduro
Jan 06, 2026 02:47Wawakilishi wa nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wakiwemo waitifaki wa Marekani, wamelaani kitendo cha Washington cha kumteka nyara Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro.
-
Somalia yapokezwa uenyekiti wa kiduru wa Baraza la Usalama la UN
Jan 03, 2026 02:33Somalia jana Ijumaa ilichukua urais wa zamu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha mwezi huu wa Januari, ikiwa ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo kushikilia wadhifa huo tangu ilipohudumu mara ya mwisho katika baraza hilo mwaka 1971-72.
-
Baraza la Usalama na Arab League kukutana kujadili hatua ya Israel ya kuitambua rasmi Somaliland
Dec 28, 2025 08:07Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) zimepanga kufanya mikutano tofauti wiki hii kujadili matokeo ya hatua ya Israel ya kulitambua rasmi eneo la 'Somaliland, ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili.
-
Kwa nini Afrika inataka kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa?
Nov 27, 2025 23:27Bara la Afrika, kwa miaka kadhaa sasa, limekuwa likitafuta kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
UNSC yapitisha azimio la US la kuunga mkono mpango wa Morocco kuhusu Sahara Magharibi
Nov 02, 2025 02:53Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura ya kurefusha kwa mwaka mmoja muda wa kazi za ujumbe wake ulioko Sahara Magharibi (MINURSO), sambamba na kuidhinisha rasmi mpango wa serikali ya Morocco wa kutoa mamlaka ya ndani kwa eneo hilo kama msingi pekee wa kutatua mgogoro huo wa miongo kadhaa, hatua ambayo imesababisha mpasuko mkubwa katika jamii ya kimataifa.
-
Kinachoifanya Russia ishikilie msimamo kwamba kurejeshwa vikwazo vya Baraza la Usalama dhidi ya Iran kunapingana na Mkataba wa UN
Oct 01, 2025 23:09Russia imetangaza kuwa madai ya kurejesha vikwazo dhidi ya Iran hayana msingi wowote na hatua iliyochukuliwa na Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na suala hilo inapingana na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
Je, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limenasa katika mtego wa kura ya turufu?
Sep 30, 2025 23:02Haki ya kura ya turufu ni mojawapo ya masuala yenye utata kuhusu mamlaka ya wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Iran: Kura ya 'snapback' ni batili, haina mashiko ya kisheria
Sep 26, 2025 23:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza kuwa, juhudi za mataifa matatu ya Ulaya ya Uingereza, Ufaransa, na Ujerumani za kuhuisha vikwazo vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kwa kutumia utaratibu unaojulikana kama snapback' ni "batili na hazina mashiko yoyote ya kisheria."
-
Kupinga nchi za Magharibio azimio la kuondolewa vikwazo Iran
Sep 20, 2025 23:05Nchi za Magharibi zimezuia kupitishwa azimio katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lililopendekezwa na Korea Kusini kuhusu kuongezwa muda wa kuondolewa vikwazo vya nyuklia Iran.