Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Brazil

  • Kwa nini rais wa Brazil amemkejeli Trump?

    Kwa nini rais wa Brazil amemkejeli Trump?

    Jan 24, 2026 02:47

    Rais Lula da Silva wa Brazil amemkejeli Rais Donald Trump wa Marekani kutokana na tweet nyingi za kutatanisha anazoandika katika mitandao ya kijamii.

  • Iran, Cuba, Brazil zataka kuheshimwa sheria za kimataifa

    Iran, Cuba, Brazil zataka kuheshimwa sheria za kimataifa

    Jan 06, 2026 06:51

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Cuba na Brazil wamesisitiza udharura wa kuwepo ushirikiano wa karibu na uratibu miongoni mwa nchi zinazostawi katika majukwaa ya kimataifa, ili kukabiliana na mfumo wa ubeberu; na kuunga mkono sheria za kimataifa na kanuni za Hati ya Umoja wa Mataifa.

  • Rais wa zamani wa Brazil ahukumiwa kifungo cha miaka 27 jela kwa kuhusika na jaribio la mapinduzi

    Rais wa zamani wa Brazil ahukumiwa kifungo cha miaka 27 jela kwa kuhusika na jaribio la mapinduzi

    Sep 12, 2025 10:27

    Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro amehukumiwa kifungo cha miaka 27 na miezi mitatu jela baada ya jopo la Mahakama Kuu kumpata na hatia ya kufanya jaribio la kuipindua serikali.

  • Jumapili, 7 Septemba, 2025

    Jumapili, 7 Septemba, 2025

    Sep 07, 2025 02:21

    Leo ni Jumapili 14 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1447 Hijria mwafaka na 7 Septemba 2025 Miladia

  • Uchunguzi: Akthari ya Waisrael wanaamini hakuna Mpalestina yeyote Ghaza 'asiye na hatia'

    Uchunguzi: Akthari ya Waisrael wanaamini hakuna Mpalestina yeyote Ghaza 'asiye na hatia'

    Aug 28, 2025 06:07

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa na shirika moja katika utawala wa kizayuni wa Israel umefichua kuwa idadi kubwa ya Wayahudi wa Israel wanaamini kwamba hakuna watu wasio na hatia katika Ukanda wa Ghaza.

  • Je, nchi za Amerika ya Kusini zimepokea vipi mpango wa Israel wa kukalia kwa mabavu Gaza?

    Je, nchi za Amerika ya Kusini zimepokea vipi mpango wa Israel wa kukalia kwa mabavu Gaza?

    Aug 16, 2025 02:17

    Nchi nyingi za Amerika ya Kusini zimekuwa na misimamo ya kukosoa waziwazi mpango wa utawala wa Kizayuni wa kuikalia kijeshi Gaza. Bila shaka, baadhi ya nchi, kama vile Argentina, zimechukua msimamo tofauti wa kuiunga mkono Tel Aviv.

  • Nchi zinazoibukia kiuchumi zimejibu vipi vita vya ushuru vya Trump?

    Nchi zinazoibukia kiuchumi zimejibu vipi vita vya ushuru vya Trump?

    Aug 09, 2025 11:29

    Mataifa matatu yanayoinukia kiuchumi, Brazil, India na Uchina, yamejibu vikali hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kupandisha ushuru wa forodha kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.

  • Lula: Brazil haitaisahau namna Marekani ilivyosaidia kufanya mapinduzi

    Lula: Brazil haitaisahau namna Marekani ilivyosaidia kufanya mapinduzi

    Aug 04, 2025 07:37

    Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil amesema kuwa nchi yake haitasahau namna Marekani ilivyosaidia kufanya mapinduzi nchini Brazil. Rais Da Silva amelaani hatua ya Washington ya kiwekea nchi yake mashinikizo ya kisiasa na kiuchumi.

  • Brazil yajiunga katika kesi ya ICJ dhidi ya mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Ghaza

    Brazil yajiunga katika kesi ya ICJ dhidi ya mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Ghaza

    Jul 24, 2025 06:48

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Brazili imetangaza kuwa iko katika "hatua za mwisho" za kuwasilisha mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ uamuzi wa kujiunga na kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya utawala wa kizayuni wa Israel kwa kuhusika na mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Ghaza.

  • Rais wa Brazil asema, Trump ni rais wa Marekani, si ‘mtawala mkuu’ wa dunia

    Rais wa Brazil asema, Trump ni rais wa Marekani, si ‘mtawala mkuu’ wa dunia

    Jul 18, 2025 06:57

    Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva amepinga tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump la kuongeza ushuru wa asilimia 50 kwa bidhaa zinazoingizwa Marekani kutokana nchini humo, na kuapa kuwa "atajibu mapigo" dhidi ya hatua hiyo na kutetea maslahi ya watu wake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS