-
Rais wa Brazil aitaka Marekani iache kuchochea moto wa vita Ukraine
Apr 16, 2023 06:54Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil amesema akiwa mjini Beijing, China kwamba Marekani inapaswa iepuke hatua za kuchochea moto wa vita nchini Ukraine.
-
kufutwa sarafu ya dola katika mabadilishano ya kibiashara kati ya Brazil na China
Apr 02, 2023 02:23Serikali za Brazil na China Jumatano, Machi 29, zilitangaza makubaliano ambapo dola ya Marekani utatupiliwa mbali na kuondolewa katika miamala ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili.
-
Serikali mpya ya Brazil kurejesha uhusiano wake wa kidiplomasia na Venezuela
Dec 15, 2022 07:09Serikali mpya ya Brazil inapanga kurejesha uhusiano wa kidiplomasia wa nchi hiyo na Venezuela, ambao ulivunjwa wakati wa serikali iliyopita ya nchi hiyo.
-
Ushindi wa Lula da Silva nchini Brazil na kupata nguvu wafuasi wa mrengo wa kushoto Amerika ya Latini
Nov 01, 2022 13:33Hatimaye baada ya vuta nikuvute na ushindani wa kisiasa nchini Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva mgombea wa Chama cha Wafanyakazi (The Workers' Party) ameibuka mshindi baada ya kufanyika duru ya pili ya uchaguzi wa Rais.
-
Uchaguzi wa rais Brazil waingia duru ya pili, Rais Bolsonaro kutoana kijasho na Lula da Silva
Oct 03, 2022 07:42Uchaguzi wa rais wa Brazil umeingia duru ya pili baada ya wagombea kushindwa kupata nusu ya kura zote za wananchi katika kinyang'anyiro hicho kilichofanyika jana Jumapili.
-
Jumatano tarehe 7 Septemba 2022
Sep 07, 2022 02:22Leo ni Jumatano tarehe 10 Safar 1444 Hijria sawa na 7 Septemba 2022.
-
Uhispania, Brazil zaripoti vifo vya kwanza vya Monkeypox nje ya Afrika
Jul 30, 2022 09:30Vifo vya kwanza vilivyotokana na ugonjwa wa Ndui ya Nyani (Monkeypox) nje ya bara la Afrika vimeripotiwa katika nchi za Uhispania na Brazil, huku maambukizi ya ugonjwa huo yakiongezeka kote duniani hususan barani Ulaya.
-
Serikali ya Brazil yakosoa vikwazo vya kiuchumi vya Magharibi dhidi ya Russia
Apr 08, 2022 02:45Wizara ya Mambo ya Nje ya Brazil imekosoa vikwazo vya kiuchumi vya nchi za Magharibi dhidi ya Russia.
-
Waliofariki dunia kwa mafuriko nchini Brazil waongezeka hadi 117
Feb 18, 2022 11:40Zaidi ya watu 117 wamefariki dunia baada ya siku kadhaa za mafuriko makubwa na maporomoko ya ardhi yaliyoharibu barabara na nyumba nchini Brazil.
-
Alkhamisi tarehe 25 Novemba 2021
Nov 25, 2021 02:27Leo ni Alkhamisi tarehe 19 Rabiuthani 1443 Hijria sawa na Novemba 25 mwaka 2021.