Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Brazil

  • Waliofariki dunia kwa mafuriko nchini Brazil waongezeka hadi 117

    Waliofariki dunia kwa mafuriko nchini Brazil waongezeka hadi 117

    Feb 18, 2022 08:10

    Zaidi ya watu 117 wamefariki dunia baada ya siku kadhaa za mafuriko makubwa na maporomoko ya ardhi yaliyoharibu barabara na nyumba nchini Brazil.

  • Alkhamisi tarehe 25 Novemba 2021

    Alkhamisi tarehe 25 Novemba 2021

    Nov 24, 2021 22:57

    Leo ni Alkhamisi tarehe 19 Rabiuthani 1443 Hijria sawa na Novemba 25 mwaka 2021.

  • Jumanne tarehe 7 Septemba 2021

    Jumanne tarehe 7 Septemba 2021

    Sep 06, 2021 20:50

    Leo ni Jumanne tarehe 29 Muharram 1443 Hijria sawa na Septemba 7 mwaka 2021.

  • 'Vifo vya corona nchini Brazil ni maafa makubwa kama ya bomu la nyuklia'

    'Vifo vya corona nchini Brazil ni maafa makubwa kama ya bomu la nyuklia'

    Apr 08, 2021 03:02

    Baada ya kuongezeka kupindukia idadi ya watu wanaofariki dunia kila siku kwa COVID-19 nchini Brazil, wataalamu wa afya wa nchi hiyo wamelifananisha janga hilo na maafa ya bomu la nyuklia na wanasema kuwa Brazil sasa hivi imekumbwa na balaa la "Fukushima za Biolojia."

  • Brazil yaweka rekodi mpya ya vifo vya Corona, zaidi ya 4,000 waaga dunia

    Brazil yaweka rekodi mpya ya vifo vya Corona, zaidi ya 4,000 waaga dunia

    Apr 07, 2021 03:05

    Kwa mara ya kwanza tangu janga la Corona liikabili dunia mapema mwaka jana, zaidi ya watu 4,000 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa Covid-19 nchini Brazil katika kipindi cha siku moja.

  • Jumatatu tarehe 7 Septemba 2020

    Jumatatu tarehe 7 Septemba 2020

    Sep 08, 2020 22:42

    Leo ni Jumatatu tarehe 18 Muharram 1442 Hijria sawa na Septemba 7 mwaka 2020.

  • Watu karibu milioni moja wameambukizwa corona nchini Brazil

    Watu karibu milioni moja wameambukizwa corona nchini Brazil

    Jun 18, 2020 06:38

    Idadi ya watu waliopatwa na virusi vya corona nchini Brazil imefika milioni moja.

  • Corona: Tanzania iko salama; wananchi watakiwa kuchukua tahadhari zaidi

    Corona: Tanzania iko salama; wananchi watakiwa kuchukua tahadhari zaidi

    Mar 16, 2020 04:38

    Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa, tayari imechukua hatua kadhaa za tahadhari ili kukabiliana na maambukizi ya Virusi vya Corona na kwamba kwa sasa nchi iko salama.

  • Trump akataa kupimwa Corona baada ya kukutana na afisa wa Brazil aliyepatikana na virusi hivyo

    Trump akataa kupimwa Corona baada ya kukutana na afisa wa Brazil aliyepatikana na virusi hivyo

    Mar 13, 2020 04:30

    Rais Donald Trump wa Marekani anashukiwa kuambukizwa ugonjwa wa COVID-19 maaarufu kama Corona baada ya kukutana na afisa ambaye amepatikana na ugonjwa huo.

  • Arab League yailaani Brazil kwa kufungua ofisi ya kibiashara Quds tukufu

    Arab League yailaani Brazil kwa kufungua ofisi ya kibiashara Quds tukufu

    Dec 20, 2019 08:12

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeikosoa vikali Brazil kwa kufungua ofisi ya kibiashara katika mji wa Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS