-
Rais wa Iran asisitiza umoja kati ya nchi za Kiislamu
Feb 04, 2025 07:47Rais wa Iran amesema kuwa nchi za Kiislamu zinapasa kujiepusha na masuala yanayozusha hitilafuna badala yake zinapasa kushikama na kuwa kitu kimoja; na kwa njia hiyo ni wazi kuwa njama za maadui na wale wanaozitakia mabaya wenzao hazitafanikiwa.
-
Kupasishwa vikwazo dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Bunge la Ireland
Nov 10, 2024 02:11Wabunge wa Ireland wamepasisha muswada ambao unauarifisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni utawala mtenda jinai unaofanya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza mbele ya macho ya walimwengu.
-
Bunge la Ghana laakhirishwa tena baada ya wabunge wa chama tawala kususia vikao
Nov 08, 2024 07:31Bunge la Ghana jana Alhamisi liliahirishwa tena kwa muda usiojulikana kufuatia pingamizi la wabunge kutoka chama tawala cha New Patriotic Party (NPP) muda mfupi kabla ya uchaguzi.
-
Spika wa Bunge Ghana amkosoa Rais kwa kutopasisha sheria dhidi ya LGBT
Mar 22, 2024 02:33Spika wa Bunge la Ghana, Alban Bagbin amemjia juu Rais Nana Akufo-Addo wa nchi hiyo kwa kutoidhinisha kuwa sheria muswada wa kupambana na ushoga na ubaradhuli LGBTQ+ takriban mwezi mmoja baada ya kupasishwa kwake na Bunge.
-
Bunge la Ghana lafuta hukumu ya kifo
Jul 26, 2023 06:07Bunge la Ghana limepiga kura ya kubatilisha adhabu ya kifo nchini humo, na kuifanya nchi hiyo iwe miongoni mwa mataifa ya Afrika ambayo yamefuta hukumu hiyo katika miaka ya karibuni.
-
Bunge la Jordan lataka Sweden ihukumiwe kimataifa na kusitishwa mikataba yote na nchi hiyo
Jul 22, 2023 04:00Bunge la Jordan limetoa wito wa kuhukumiwa Sweden kimataifa kutokana na hatua yake ya kuruhusu vitendo vichafu vya kuvunjiwa heshima Qur'ani tukufu kkufanyika katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Ijumaa tarehe 23 Juni 2023
Jun 23, 2023 02:26Leo ni Ijumaa tarehe 4 Dhulhija 1444 Hijria sawa na Juni 23 mwaka 2023.
-
Bunge la Lebanon lashindwa tena kumchagua Rais mpya
Jun 15, 2023 02:50Bunge la Lebanon hapo jana lilishindwa tena kumchagua Rais mpya wa nchi hiyo kwa mara ya 12; na kupelekea mkwamo wa kumchagua kiongozi wa juu zaidi nchini humo kuendelea kushuhudiwa.
-
Ushiriki mdogo watazamiwa katika duru ya pili ya uchaguzi wa Bunge Tunisia
Jan 29, 2023 12:28Idadi ndogo ya wapiga kura wanatazamiwa kushiriki duru ya pili uchaguzi wa Bunge nchini Tunisia wa leo, baada ya makundi ya upinzani kikiwemo chama cha Kiislamu chenye ushawishi mkubwa nchini humo cha Annahdha kutoa miito ya kususia uchaguzi huo.
-
Bunge la Kuwait lapinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 01, 2022 04:01Wabunge wa Kuwait wamepinga vikali hatua yoyote ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.