-
Mvutano katika Bunge la Ghana kuhusiana na kutolewa idhini kwa ajili ya operesheni za kijeshi za Marekani
Mar 25, 2018 10:42Bunge la Ghana limeingia katika mzozo mkubwa kuhusiana na kutolewa idhini kwa ajili ya kupelekwa nchini humo askari wa Marekani bila ya mipaka yoyote.
-
Iran na Misri kuimarisha ushirikiano wao wa mabunge
Feb 06, 2018 07:16Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa mabunge ya nchi hii na Misri.
-
Zaidi ya wabunge 10 wa bunge la Israel kususia hotuba ya Makamu wa Rais wa Marekani
Jan 22, 2018 03:04Zaidi ya wabunge 10 wa bunge la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Knesset wametangaza kuwa watasusia hotuba inayotazamiwa kutolewa na Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence.
-
Mkutano wa kimataifa wa kupambana na madawa ya kulevya unafanyika Moscow Russia
Dec 04, 2017 14:55Mkutano wa kimataifa wa Mabunge wa kupambana na madawa ya kulevya umeanza leo katika mji mkuuu wa Russia Moscow na unahudhuriwa na wawakilishi wa Mabunge kutokana nchi mbalimbali ulimwenguni.
-
Wabunge wa upinzani Uganda warejesha 'hongo' ya kurefusha uongozi wa Museveni
Oct 26, 2017 08:07Wabunge wanane wa upinzani wamerejesha kwenye hazina ya serikali fedha walizopokea kwa ajili ya kufanikisha muswada wa kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais.
-
Wabunge Uganda wapewa 'hongo' ya mamilioni ya pesa kurefusha uongozi wa Museveni
Oct 24, 2017 13:41Msemaji wa Bunge la Uganda amesema kila Mbunge wa nchi hiyo amepewa shilingi milioni 29 za nchi hiyo, sawa na dola elfu 8 za Marekani, kufanikisha muswada wa kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais.
-
Wabunge wa Uganda watwangana tena, matangazo mubashara yafutwa
Sep 27, 2017 14:21Kwa siku ya pili mfululizo, Wabunge wa Uganda wamerushiana makonde Bungeni wakati wa kujadiliwa muswada wa sheria inayotaka kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais nchini humo.
-
Kenya yachelewesha kuanza vikao vya EALA tangu Juni 2017
Sep 22, 2017 08:04Hatua ya Kenya kutoteua wabunge wake wa Bunge la Afrika Mashariki EALA hadi sasa imechelewesha kuanza vikao vya chombo hicho cha kieneo.
-
Wabunge wa upinzani Uganda wadai kutishiwa maisha
Sep 21, 2017 03:48Wabunge wa vyama vya upinzani nchini Uganda wamesema serikali inawatishia maisha masaa machache kabla ya bunge la nchi hiyo kujadili muswada wa kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais nchini humo.
-
Museveni: Kikomo cha umri wa kuwania urais Uganda kitaamuliwa na Bunge
Sep 14, 2017 14:44Rais Yoweri Museveni wa Uganda amejitosa kwenye mjadala kuhusu kikomo cha umri wa kugombea urais nchini humo na kusisitiza kuwa, kauli ya mwisho kuhusu kadhia hiyo itatolewa na Bunge la nchi hiyo.