-
Museveni: Kikomo cha umri wa kuwania urais Uganda kitaamuliwa na Bunge
Sep 14, 2017 14:44Rais Yoweri Museveni wa Uganda amejitosa kwenye mjadala kuhusu kikomo cha umri wa kugombea urais nchini humo na kusisitiza kuwa, kauli ya mwisho kuhusu kadhia hiyo itatolewa na Bunge la nchi hiyo.
-
Iran na Afrika Kusini kuimarisha uhusiano wao wa Kibunge
Sep 12, 2017 15:00Hossein Amir-Abdollahian, Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Bunge la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Afrika Kusini zinaweza kutumia uwezo wao kuondoa vizuizi vilivyopo ili kuimarisha uhusiano wa pande mbili ukiwemo wa kibunge.
-
Bunge la Iraq lapiga kura ya kupinga kura ya maoni ya kujitenga Kurdistan
Sep 12, 2017 14:54Bunge la Iraq limepiga kura kwa kishindo kupinga kufanyika kura ya maoni ya kutaka kujitenga eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan.
-
Seneta aliyeikejeli burqa Bungeni huko Australia akosolewa vikali
Aug 18, 2017 08:15Seneta aliyeingia Bungeni akiwa amevalia burqa kwa kejeli na dhihaki nchini Australia amekosolewa vikali na Mwanasheria Mkuu na Waziri Mkuu wa nchi hiyo kwa kuvunjia heshima vazi hilo linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu.
-
Rouhani: Marekani ikituwekea vikwazo vipya, tutatumia masaa kujiondoa JCPOA
Aug 15, 2017 08:01Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itatumia masaa machache kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya Vienna, iwapo Marekani itathubutu kuliwekea taifa hili vikwazo vipya.
-
Rais Zuma wa Afrika Kusini anusurika na shoka la Bunge kwa mara ya 7
Aug 09, 2017 07:04Kwa mara nyingine tena Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amenusurika kuenguliwa madarakani baada ya kupataka uungaji mkono hafifu wa chama tawala ANC katika kura ya kutokuwa na imani naye Bungeni.
-
Bunge la Iraq lasherehekea kukombolewa mji wa Mosul
Jul 04, 2017 15:40Wabunge wa Iraq wamefanya sherehe kufurahia ushindi wa hivi karibuni na kukomblewa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa magaidi wa kitakfiri wa Daesh. Hatua hiyo imechukuliwa na Bunge la Iraq ili kuonyesha mshikamano wa Bunge na vikosi vya jeshi la nchi hiyo na harakati ya wananchi ya Hashdu Sha'abi.
-
Bunge la Ujerumani laruhusu ndoa za watu wenye jinsia moja
Jul 02, 2017 08:18Ijumaa ya juzi Bunge la Ujerumani, Bundestag liliipasisha sheria inayoruhusu ndoa za watu wenye jinsia moja na kutambua rasmi eti haki watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja ya kulea watoto nchini humo.
-
Bunge la Zambia lawatimua wabunge waliosusia hotuba ya rais
Jun 14, 2017 08:04Bunge la Zambia limewafukuza makumi ya wabunge wa upinzani ambao walisusia hotuba ya Rais Edgar Lungu wa nchi hiyo miezi michache iliyopita.
-
Iran yaangamiza magaidi wanne wa ISIS na kunasa silaha na bendera
Jun 13, 2017 02:26Maafisa wa usalama kusini mwa Iran wamefanikiwa kuwaangamzia magaidi wanne wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh sambamba na kunasa silaha walizokuwa nazo pamoja na bendera ya kundi hilo la kigaidi.