-
Magaidi washambulia Bunge la Iran na Haram ya Imam Khomeini
Jun 07, 2017 07:48Watu wawili akiwemo afisa wa usalama wameripotiwa kuuawa huku watu wengine wanane wakijeruhiwa baada ya watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia majengo ya Bunge la Iran na Haram ya Imam Khomeini MA, katika mji mkuu Tehran.
-
Rasimu ya sheria ya 'Quds Kubwa' yawasilishwa kwenye bunge la utawala wa Kizayuni
May 31, 2017 04:10Wabunge wawili wa mrengo wa kulia katika bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel Knesset wamewasilisha kwenye bunge hilo rasimu ya sheria iliyopewa jina la 'Quds Kubwa'.
-
Iran na Zimbabwe zajadili njia za kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi
May 17, 2017 13:57Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe zimejadili njia mbalimbali za kukuza na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi baina ya nchi mbili hizo.
-
Kuchukuliwa hatua kali zaidi za usalama Misri; udharura wa kiusalama wenye malengo ya kisiasa
May 12, 2017 13:10Serikali ya Misri imechukua hatua kali zaidi za usalama katika eneo linalozunguka bunge kufuatia kuongezeka vitisho dhidi ya wabunge wa nchi hiyo.
-
Bunge la Uswisi lapinga muswada wa kupiga marufuku vazi la burqa
Mar 10, 2017 14:00Bunge la Uswisi limekataa kupasisha muswada wa kupiga marufuku nchini humo vazi la stara la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake wa Kiislamu.
-
Bunge la Somalia lamuidhinisha Waziri Mkuu mpya, aahidi kutokomeza ufisadi
Mar 01, 2017 15:49Bunge la Somalia limemuidhinisha Hassan Ali Khaire kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo katika kikao cha ufunguzi wa Bunge la 10 leo Jumatano, kilichofunguliwa na Rais Mohamed Abdullahi Farmaajo.
-
Bunge la Misri lataka kuongezwa muda wa Rais
Feb 27, 2017 02:48Wawakilishi wa Bunge la Misri wamesema kuwa, wanataka kipindi cha uongozi wa Rais wa nchi hiyo kiongezwe.
-
Uchaguzi wa Rais na Bunge Libya kufanyika kabla ya Februari 2018
Feb 15, 2017 07:59Uchaguzi wa Rais na Bunge wa Libya umepangwa kufanyika kufikia mwezi Februari mwaka kesho.
-
Spika wa Bunge la Kuwait ataka Israel ifukuzwe kwenye Umoja wa Mabunge
Feb 13, 2017 04:20Kuwait imelaani ujenzi wa vitongoji vya walowezi unaofanywa na utawala wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kutoa wito wa kutaka utawala huo ufukuzwe katika Umoja wa Kimataifa wa Mabunge.
-
Kongamano la mabunge ya Kiarabu na mustakbali wa Palestina
Feb 12, 2017 12:07Katibu Mkuu wa Jumuiya ya nchi za Kiarabu ameelezea kuwepo migongano ya serikali mpya ya Marekani kuhusu masuala ya ulimwengu wa Kiarabu.