-
Mieleka yashuhudiwa tena bungeni nchini Afrika Kusini
Feb 10, 2017 08:02Kwa mara nyingine tena Bunge la Afrika Kusini jana Alkhamisi lililegeuzwa na kuwa ukumbi wa masumbwi, mieleka na malumbano kufuatia hatua ya wabunge wa upinzani kuzusha fujo kwa lengo la kuzuia hotuba ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo kwa taifa.
-
Morocco yaazimia kurejea katika Umoja wa Afrika
Jan 19, 2017 14:08Bunge la Morocco limepiga hatua moja mbele ikiwa ni juhudi za nchi hiyo kutaka kurejea katika Umoja wa Afrika baada ya kujiondoa kwa zaidi ya miongo mitatu iliyopita.
-
Bunge la Gambia lamuongezea Jammeh miezi 3, Nigeria yatuma manowari
Jan 18, 2017 16:40Bunge la Taifa la Gambia limepasisha azimio la kumruhusu Rais Yahya Jammeh wa nchi hiyo asalie madarakani kwa miezi mitatu zaidi katika hali ambayo muda wake wa kuhudumu unaelekea kumalizika.
-
Waziri Mkuu wa Ivory Coast ajiuzulu na kuvuja serikali, Rais kuhutubia Bunge
Jan 10, 2017 08:10Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Daniel Kablan Duncan amejiuzulu na kutangaza kuvunja serikali yake katika hatua ambayo ilitarajiwa kufuatia kuidhinishwa kwa Katiba mpya ya nchi na uchaguzi wa Bunge uliofanyika mwezi uliopita wa Disemba 2016.
-
Wabunge wapya wa Bunge la taifa la Somalia waapishwa mjini Mogadishu
Dec 28, 2016 08:09Wabunge wapya wa Bunge la taifa la Somalia wameapishwa katika hafla iliyofanyika mjini Mogadishu chini ya hatua kali za kiusalama.
-
Bunge la Yemen laidhinisha Serikali ya Wokovu wa Kitaifa
Dec 11, 2016 14:53Bunge la Yemen limeidhinisha Serikali ya Wokovu wa Kitaifa, hatua ambayo imehusisha matumaini ya kupatiwa ufumbuzi wa kudumu mgogoro wa kisiasa nchini humo.
-
Bunge la Israel lautupa muswada wa kupiga marufuku Adhana
Dec 07, 2016 15:45Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel Knesset leo Jumatano limeutupilia mbali muswada wa kupiga marufuku adhana katika mji mtakatifu wa Quds na maeneo mengine ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Wananchi wa Ghana wapiga kura kumchagua Rais na Wabunge
Dec 07, 2016 14:18Wananchi wa Ghana leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kumchagua Rais Mpya na wawakilishi wa bunge.
-
Uchaguzi wa Bunge nchini Gabon waakhirishwa
Dec 04, 2016 03:16Uchaguzi wa Bunge nchini Gabon uliokuwa umepangwa kufanyika mwezi huu wa Desemba umeakhirishwa kutokana na kutokuweko bajeti ya kutosha ya kuendesha zoezi la uchaguzi huo.
-
Watetezi wa haki za binadamu wana wasiwasi kuhusu mpango mpya wa bunge la Misri
Nov 16, 2016 14:12Bunge la Misri limepasisha mswada kwa ajili ya kubana shughuli za taasisi zisizo za kiserikali nchini humo.