-
Diplomasia ya Russia; kustawisha uhusiano na Iran
Nov 15, 2016 02:50Katika kipindi hiki, Tehran imekuwa ikifikiwa na ugeni wa viongozi na maafisa wa nchi mbalimbali za Ulaya. Wakati László Kövér, Spika wa bunge la Hungary akiwa bado mjini Tehran kwa mazungumzo na mashauriano na maafisa wa Iran juu ya uhusiano wa mabunge ya nchi mbili Mwenyekiti wa Baraza la Shirikisho la Russia Valentina Ivanovna Matvienko, naye pia amewasili Tehran kwa safari rasmi ya kikazi.
-
Spika wa zamani wa Tanzania afariki dunia, Rais Magufuli atoa mkono wa pole
Nov 07, 2016 08:03Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ametoa mkono wa rambirambi kufuatia kifo cha spika wa zamani wa bunge la nchi hiyo, Samuel Sitta aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo nchini Ujerumaini alikokuwa anapatiwa matibabu.
-
Marekani hailipi uzito suala la vita dhidi ya ugaidi
Oct 26, 2016 08:11Alauddin Burujerdi Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema Marekani hailipatii uzito suala la vita dhidi ya ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Uchaguzi wa Bunge nchini Somalia waakhirishwa tena
Sep 26, 2016 14:13Uchaguzi wa Bunge nchini Somalia uliopangwa kufanyika kuanzia tarehe 24 mwezi huu hadi tarehe 10 ya mwezi ujao wa Oktoba umeakhirishwa.
-
Kenya yatathmini kutuma wanajeshi Sudan Kusini
Aug 19, 2016 02:52Bunge la Kenya linatazamiwa kujadili hoja ya iwapo serikali ya Nairobi itatuma wanajeshi wa nchi hiyo KDF nchini Sudan Kusini au la, wiki moja baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupasisha azimio la kutumwa askari 4,000 zaidi nchini humo.
-
Bunge la Tunisia lapiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu
Jul 31, 2016 07:42Bunge la Tunisia limepitisha kwa wingi mkubwa, kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Habib Essid.
-
Watakaokiuka mapatano ya nyuklia ya Iran watajuta
Jun 19, 2016 14:43Wabunge wa Iran leo wameonya kuwa watakaokiuka mapatano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya Iran na madola sita makubwa duniani watajuta.
-
Mbunge wa Uingereza afariki dunia baada ya kujeruhiwa kwa risasi
Jun 17, 2016 04:27Mbunge wa Uingereza Jo Cox amefariki dunia kutokana na majeraha aliyopata baada ya kupigwa risasi jana.
-
Bunge la Syria laanza vikao, lamchagua Spika mwanamke
Jun 07, 2016 07:30Kwa mara ya kwanza kabisa, bunge la Syria limemteua mwanamke kuwa spika mpya wa bunge hilo.
-
Wabunge wa upinzani Afrika Kusini waburutwa nje ya Bunge kwa kuzuia hotuba ya Zuma
May 17, 2016 14:37Kwa mara nyingine tena, Bunge la Afrika Kusini limegeuka na kuwa ukumbi wa mieleka na malumbano kufuatia hatua ya wabunge wa upinzani kuzusha fujo kwa lengo la kuzuia hotuba ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.