-
Serikali ya Burundi yatoa tamko rasmi la kufariki dunia rais wa nchi hiyo + Sauti
Jun 10, 2020 11:37Serikali ya Burundi imetangaza rasmi kifo cha rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza ambaye ameiongoza Burundi kwa muda wa miaka 15. Serikali ya Bujumbura imetangaza siku 7 za maombolezo ya kitaifa na bendera ya nchi hiyo itapepea nusu mlingoti.
-
Katibu Mkuu wa UN atuma salamu za rambirambi kwa serikali ya Burundi
Jun 10, 2020 07:29Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametuma salamu za rambirambi kufuatia kuaga dunia Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi.
-
Rais Nkurunziza wa Burundi ameaga dunia kufuatia 'mshtuko wa moyo'
Jun 09, 2020 11:15Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ameaga kutokana na kile ambacho kimetajwa ni mshtuko wa moyo.
-
SAUTI, Asasi za kiraia Burundi zawajibu maaskofu waliopinga matokeo ya uchaguzi kwamba; 'wafundishe tu Biblia na waachane kabisa na siasa'
May 28, 2020 12:35Wakati Kanisa Katoliki nchini Burundi likitilia shaka matokeo ya uchaguzi wa rais wa tarehe 20 mwezi huu uliompa ushindi mgombea wa chama tawala CNDD-FDD, mashirika ya kiraia yenye kuiunga mkono serikali yamelijia juu kanisa hilo.
-
Kanisa Katoliki Burundi lasema uchaguzi wa rais uligubikwa na kasoro nyingi
May 28, 2020 03:26Kanisa Katoliki nchini Burundi limetilia shaka matokeo ya uchaguzi wa rais wa Mei 20 uliompa ushindi mgombea wa chama tawala CNDD-FDD.
-
Evariste Ndayishimiye rais mpya wa Burundi + Sauti
May 25, 2020 21:50Tume ya uchaguzi ya Burundi, jana Jumapili ilimtangaza Evariste Ndayishimie kuwa rais mpya wa nchi hiyo huku ishara zote zikiwa zimeonesha tangu awali kabisa kwamba mgombea huyo wa chama tawala angelitangazwa mshindi katika uchaguzi wa rais.
-
Polisi ya Burundi yawakamata mamia ya waangalizi wa uchaguzi
May 23, 2020 03:32Polisi nchini Burundi imewatia mbaroni mamia ya waangalizi wa uchaguzi wa upinzani, waliokuwa wakifuatilia uchaguzi mkuu uliofanyika siku chache zilizopita.
-
SAUTI, Uchaguzi mkuu wa Jumatano ijayo nchini Burundi maandalizi yamekamilika, kusimamiwa na mabalozi
May 18, 2020 12:29Maandalizi ya uchaguzi mkuu nchini Burundi utakaofanyika siku ya Jumatano ya wiki hii yamekamilika.
-
Burundi yawatimua nchini humo maafisa wa WHO wakati huu wa corona
May 14, 2020 19:58Serikali ya Burundi imemfukuza nchini humo Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini humo na maafisa watatu wa timu yake waliokuwa wakifuatilia mwenendo wa mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19 (corona) katika nchi hiyo.
-
SAUTI, Burundi yasema kuwa, wasimamisi wa uchaguzi watakaoingia nchi hiyo watawekwa kwanza karantini kwa siku 14
May 11, 2020 10:19Uchaguzi wa urais, bunge na madiwani wa tarehe 20 ya mwezi huu nchini Burundi huenda utafanyika bila kuwepo waangalizi kutoka nje ya nchi.