-
SAUTI, Wanachama wa Uprona nchini Burundi wamkataa mgombea wao, wasema bora wamchague mgombea wa chama tawala
Apr 20, 2020 16:33Huku ukiwa umesalia muda wa wiki moja kabla ya kuzinduliwa kampeni ya uchaguzi wa urais nchini Burundi, yameibuka malumbano ndani ya chama cha Uprona kilichowahi kuiongoza nchi hiyo tangu mwaka 1962 hadi 1993.
-
Virusi vya Corona vyaendelea kusambaa kwa kasi barani Afrika
Mar 17, 2020 07:57Somalia, Benin na Liberia ni nchi za hivi karibuni kabisa kuripoti kesi za ugonjwa wa Corona (Covid-19) barani Afrika, huku virusi hivyo vikiendelea kusambaa kwa kasi katika nchi za bara hilo.
-
Wagombea 6 wa urais nchini Burundi waidhinishwa, 4 watemwa
Mar 11, 2020 07:44Tume ya Uchaguzi nchini Burundi (CENI) imeidhinisha majina ya wagombea sita wa uchaguzi wa urais unaotazamiwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu.
-
Makumi wauawa katika ghasia za kabla ya uchaguzi Burundi
Feb 26, 2020 13:44Serikali ya Burundi imekiri kuua watu 22 ndani ya siku chache zilizopita, kwa tuhuma za kufanya 'makosa' yanayohusishwa na uchaguzi mkuu ujao.
-
SAUTI, Tume ya Kuandaa Uchaguzi nchini Burundi CENI yafungua milango kupokea fomu za wagombe
Feb 24, 2020 14:49Tume ya Kuandaa Uchaguzi nchini Burundi CENI imetangaza utaratibu unaotakiwa kufuatwa na wagombea uchaguzi katika nafasi tofauti.
-
Tume ya Uchaguzi Burundi CENI yakutana na wapiga kura wa jamii ya mbilikimo + Sauti
Feb 18, 2020 11:22Tume ya Uchaguzi Burundi CENI, imekutana na wajumbe wa mashirika ya kiraia ya watu wajamii ya mbilikimo ili kuwahamasisha wateue wagombea watakaowawakilisha katika uchaguzi wa bunge na seneti. Ceni imewaongezea mbilikimo hao muda wa siku 5 kwenye kalenda ya siku zilopangwa za kuhakikisha zoezi hilo limekamilika. Mwandishi wetu Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Burujumbura Burundi
-
Chama kikuu cha upinzani cha CNL kimemuidhinisha Agathon Rwasa kuwa mgombea wake wa kiti cha urais
Feb 17, 2020 08:00Chama kikuu cha upinzani nchini Burundi kimemuidhinisha Agathon Rwasa kuwa mgombea wake katika uchaguzi wa rais wa Mei 20 mwaka huu.
-
Makaburi ya umati yenye maiti 6000 yagunduliwa Burundi
Feb 16, 2020 06:55Kamisheni ya Ukweli na Maridhiano ya Burundi imetangaza habari ya kugundua makaburi sita ya umati yenye maiti elfu sita katika mkoa wa Karusi, mashariki mwa nchi.
-
SAUTI, EAC: Tutatuma waangalizi wa uchaguzi nchini Burundi, pia yaipongeza serikali ya Bujumbura kwa maandalizi mazuri
Feb 11, 2020 07:37Jumuia ya Afrika imepanga kuwatuma waangalizi wake kwa ajili ya kufuatilia zoezi la uchaguzi ujao nchini Burundi.
-
SAUTI, Majina ya wagombea wanaotaka kumrithi Rais Nkurunziza nchini Burundi, yawekwa wazi
Feb 03, 2020 16:23Wagombea 10 wa kiti cha urais katika uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika tarehe 20 Mei mwaka huu, tayari wamefamika.