SAUTI, Majina ya wagombea wanaotaka kumrithi Rais Nkurunziza nchini Burundi, yawekwa wazi
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i58926-sauti_majina_ya_wagombea_wanaotaka_kumrithi_rais_nkurunziza_nchini_burundi_yawekwa_wazi
Wagombea 10 wa kiti cha urais katika uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika tarehe 20 Mei mwaka huu, tayari wamefamika.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Feb 03, 2020 12:53 UTC

Wagombea 10 wa kiti cha urais katika uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika tarehe 20 Mei mwaka huu, tayari wamefamika.

Kati ya wagombea hao ni pamoja na Evariste Ndayishimiye, Katibu Mkuu wa Chama Tawala CNDD-FDD anayetazamiwa kumrithi Rais Pierre Nkurunziza.

Gaston Sindimwo, Makamu wa Kwanza wa Rais

Aidha mwanasiasa mwingine aliyejitosa kugombea nafasi hiyo ni Gaston Sindimwo, Makamu wa Kwanza wa Rais ambaye atapeperusha bendera ya chama Uprona.

Jiunge na mwandishi wetu wa habari wa mjini Bujumbura, Hamida Issa kwa kubonyeza alama ya sauti pale juu………./