-
Trump apendekeza Wapalestina wa Ghaza wahamishwe na kupelekwa Misri na Jordan
Jan 26, 2025 11:36Rais Donald Trump wa Marekani amependekeza Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza wahamishwe katika ardhi yao hiyo na kupelekwa nchi jirani kama Misri na Jordan, pendekezo lisilo la kawaida ambalo lilipingwa hata na utawala wa mtangulizi wake Joe Biden.
-
WHO yautoa hofu ulimwengu kuhusu virusi vya HMPV
Jan 09, 2025 03:20Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa ongezeko lililoripotiwa la wagonjwa walioathirika katika mfumo wao wa kupumua linalosababishwa na virusi vya Human Metapneumovirus (hMPV) huko China linaendana na mwelekeo wa msimu wa magonjwa ya kawaida ya kupumua, pamoja na mafua ambayo kwa kawaida hufikia kileleni wakati wa miezi ya baridi.
-
China yakanusha kukabiliana na ugonjwa unaoshabihiana na Uviko-19
Jan 05, 2025 07:43China imekadhibisha madai kwamba inakabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kupumua usiofahamika unaofanana na Uviko-19.
-
Trump atoa vitisho vikali dhidi ya BRICS kwa hofu ya kuanzishwa sarafu itayoshindana na US $
Dec 01, 2024 06:09Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametoa vitisho vikali kwa mataifa wanachama wa jumuiya ya BRICS akisema yatakabiliwa na ushuru wa 100% kwa bidhaa zao ikiwa yatajaribu kuanzisha sarafu ya akiba ili kushindana na sarafu ya dola ya Marekani.
-
Sisitizo la Trump la kuanza duru mpya ya vita vya ushuru katika kipindi cha pili cha urais
Nov 28, 2024 02:51Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa katika siku yake ya kwanza akiwa Ikulu ya White House, atatoa agizo la kutozwa ushuru mpya bidhaa zote zinazoagizwa kutoka Mexico, Canada na China.
-
Kikao cha pili cha kamati ya pande tatu za Iran, Saudi Arabia na China chafanyika Riyadh
Nov 20, 2024 11:56Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Saudi Arabia na China zimefanya kikao cha pili cha pande tatu huko Riyadh, Saudi Arabia kwa shabaha ya kufuatilia makubaliano yaliyofikiwa huko Beijing na kuimarisha kiwango cha ushirikiano.
-
China yaibainishia Marekani mistari yake minne myekundu ambayo haipasi kuvukwa
Nov 18, 2024 02:36Rais Xi Jinping wa China ameweka wazi mistari myekundu minne ambayo amesema haipasi kuvukwa na Marekani ili kuwepo uhusiano wenye usawa na sahihi kati ya nchi hizo mbili.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia alaani vikali mauaji ya Sinwar, asema nchi yake inaomboleza
Oct 20, 2024 02:46Waziri Mkuu wa Malaysia Anwar Ibrahim amelaani vikali mauaji ya kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar yaliyofanywa na vikosi vya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Katika Siku ya Afya ya Akili Duniani, Katibu Mkuu wa UN asema: Hakuna afya bora bila afya ya akili
Oct 11, 2024 07:31Siku ya Afya ya Akili Duniani imeadhimishwa Oktoba 10 huku ikiripotiwa kuwa, mtu mmoja kati ya wanane duniani ana tatizo la afya ya akili.
-
China na Russia zakosoa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 10, 2024 07:13Wawakilishi wa Kudumu wa China na Russia katika Umoja wa Mataifa wameikosoa vikali Israel kwa kushindwa kutafuta amani na kuzuia juhudi za kukomesha mauaji ya watu wa Palestina.