-
Alkhamisi, Oktoba 10, 2024
Oct 10, 2024 03:33Leo ni Alkhamisi tarehe 6 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria sawa na tarehe 10 Oktoba mwaka 2024.
-
Jumanne tarehe Mosi Oktoba 2024
Oct 01, 2024 06:47Leo ni Jumanne tarehe 27 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1446 Hijria sawa na tarehe Mosi Oktoba 2024.
-
China yakosoa na kulaani jinai za Israel nchini Lebanon
Sep 22, 2024 02:58Mwakilishi wa China katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mashambulizi ya kikatili, ya kutisha na yasiyo na mfano ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon ni ukiukaji mkubwa wa mamlaka ya nchi huru, sheria za kimataifa na za kibinadamu.
-
China: Marekani ndio tishio kubwa zaidi la nyuklia duniani
Aug 17, 2024 10:27Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya China amesema, Marekani ndiyo hatari kubwa zaidi kwa dunia endapo yatatokea mapigano ya nyuklia.
-
Kukosoa Russia upinzani wa Magharibi kwa muundo mpya wa ulimwengu
Jul 21, 2024 02:30Balozi wa Russia nchini Marekani, Anatoly Antonov, amesema nchi za Magharibi zinapinga juhudi za kuundwa muundo mpya wa pande kadhaa ambao utakuwa na insafu na uadilifu zaidi.
-
China: Tuko tayari kushirikiana na serikali ijayo ya Iran
Jul 16, 2024 07:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema China inathamini uhusiano wake na Iran na iko tayari kushirikiana na serikali mpya ya Jamhuri ya Kiislamu ili kuendeleza ushirikiano wa kimkakati na wa kina kati ya pande mbili.
-
Sisitizo la kupanuliwa uhusiano wa Iran na China
Jul 07, 2024 02:24Mohammad Mokhbrr, Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Rais Xi Jinping wa China walikutana na kujadiliana kando ya Mkutano wa 24 wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai huko Astana, mji mkuu wa Kazakhstan.
-
Iran, China na Russia zazitaka nchi za Magharibi zianze tena kutekeleza makubaliano ya nyuklia
Jun 05, 2024 07:28Iran, China na Russia zimesisitiza kuwa, vifungu vya mkataba wa nyuklia wa JCPOA vingali vina itibari na kuzishauri nchi za Magharibi ambazo zimekwamisha utekelezaji wa mapatano hayo kwa kutochukua hatua na kukhalifu kutekeleza ahadi na majukumu yao, zionyeshe utashi wa kisiasa na kuchukua hatua zinazohitajika ili kuanza kutekeleza tena makubaliano hayo.
-
NATO yaituhumu China kuwa inachochea moto wa vita Ulaya kwa kuiunga mkono Russia
May 26, 2024 11:15Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la Magharibi NATO Jens Stoltenberg ameituhumu China kwamba inachochea vita barani Ulaya kwa kuiunga mkono Russia dhidi ya Ukraine.
-
Jitihada za China za kuleta maridhiano ya kitaifa Palestina
May 02, 2024 02:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ametangaza kuwa kufuatia mkutano wa wawakilishi wa harakati za Palestina za Hamas na Fat'h mjini Beijing, pande mbili zimefikia makubaliano ya kujadili maridhiano ya kitaifa huko Palestina.